Kuwa makini kwa hili

Kuwa makini kwa hili

Joined
May 28, 2013
Posts
91
Reaction score
17
KUWA MAKINI
VIONGOZI wanasema TUTAANDAMANA huku
MUDA ukiwadia WANAPANDA HELKOPTA na
KUPAA JUU huku WALALA HOI Mkila KICHAPO
na WENGINE WANAKUWA vilema KUPIGANIA
MASLAHI ya VIONGOZI ambao hata MIA hua HAWAWAPI kwenye MIKUTANO wala hata
KUWAJUA HAWAWAJUI
FANYA MAPINDUZI kwenye KURA YAKO tu
ukiandamana ITAKULA KWAKO
 
KUWA MAKINI
VIONGOZI wanasema TUTAANDAMANA huku
MUDA ukiwadia WANAPANDA HELKOPTA na
KUPAA JUU huku WALALA HOI Mkila KICHAPO
na WENGINE WANAKUWA vilema KUPIGANIA
MASLAHI ya VIONGOZI ambao hata MIA hua HAWAWAPI kwenye MIKUTANO wala hata
KUWAJUA HAWAWAJUI
FANYA MAPINDUZI kwenye KURA YAKO tu
ukiandamana ITAKULA KWAKO

Hilo Jina Lako La Mwishoni Halifanani Na Ulichoandika. Mwenzio Alikuwa Anafanya Kweli Na Aliuwawa Anapigania Haki.
 
Ernesto Che Guevara wakati anatetea haki za watu chini ya mabeberu alikuwa kiongozi wa mbele kuendesha mapambano sijawahi kuona katika biograph yake kuwa alianzisha mapambano alafu yeye aondoke awaachie wafuasi wake wapambane sasa kwa kiongozi mkubwa kutuahamasisha tuandamane alafu yeye hayupo mstari wa mbele anaondoka tena nje ya nchi bila hata sababu ya msingi unafikiri ni nini tafsili yake hapo..........
Kwa tusipende kudanganyana vitu ambavyo vipo wazi
 
Back
Top Bottom