Kuwa makini kuna wezi wa hatari mjini

Captain mopao

Senior Member
Feb 25, 2021
133
379
Habari zenu wadau
Kuna wezi wameibuka hapa Dodoma wanapenda kutembea wawili wawili. Wapo wengi lakini hutembea kwa pair ya watu wawili

Hawa jamaa wanawaibia watu sana kwenye daladala na kama wana dawa kugundua ni ngumu sana.
Techinic wanayotumia kwanza wana maneno ya busara na ukarimu sana wanapanda daladala wote wanakaa siti moja ikishajaa mwizi mmoja anaangalia kati ya waliosimama yupi anaonekana ana pesa wakimuona ambae kidogo anaelekea mmoja ananyanyuka na kukuachia siti ukae yule wa pili ambae atabaki kakaa ndio atakayekuibia.

Huyu aliekaa unakuta ana koti ambalo kalininginiza kwenye bega na hilo koti limefunika mkono mmoja hauonekani huo ndio anatumia kuiba pale mkiwa mmebanana.

Na pia njia nyingine huwa mwizi aliyekaa anaangusha kitu chochote kwa upande wako pesa au simu ukiinama kumuokotea ni kitendo cha dakik 0 unakuwa umeshaibiwa.

Na wakishafanya uharifu huwa wanashuka gafla utasikia konda tuache hapa hapa.

Ukisikia hivo ujue wameshaiba kuna mzee juzi kaibiwa laki nane kwenye daladala, pia kuna siku nilikuwa natoka Nkuhungu waliiba simu ya mama mmoja wakashukia Bahi Road pale mama anakuja kugundua tunakaribia kufika.

Hawa jamaa identity yao ni wakarimu wana maneno mengi sana na mmoja nimemkalili ni mweupe ana upara na hereni sikio moja halafu kajichora tatuu mikononi

Huyo ni mmoja kati ya wengi
Maeneo yao ni Msalato siku za Jumamosi mnadani huwa hawakosi huwa wanapanda daladala wanakwenda na kurudi

Na soko la Job Ndugai nane nane mitaa ile hawakosi

Kuweni makini sana na mtu anayekuchangamkia na kukuachia siti
 
Ukikamata mwizi wala usimpige mfanye awe rafiki yako mfungeni kamba mikononi na miguuni,chukua sabuni mpigishe nyeto ule uume ukishadinda chukua chelewa ya fagio lengesha pale kwenye kitobo cha mkojo halafu chelewa unaivunja humo humu unamfungulia anaondoka zake
juzi mamsap kapigwa iphone 6s Plus

Kuna mmoja alijichanganya Makumbusho nusu nimtie kilema,
 
Mmmh kweli wizi upo, huyo mzee laki 8 aliweka kwenye mfuko wa shati??🤔
Nimewaza tu suruali ukikaa hakuna mtu aweza kuvuta kibunda chote hicho bila kuleta dhahama!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Ukikamata mwizi wala usimpige mfanye awe rafiki yako mfungeni kamba mikononi na miguuni,chukua sabuni mpigishe nyeto ule uume ukishadinda chukua chelewa ya fagio lengesha pale kwenye kitobo cha mkojo halafu chelewa unaivunja humo humu unamfungulia anaondoka zake
yaani nishike dushe la jamaa?
 
Back
Top Bottom