Kuwa makini kuna wezi wa hatari mjini

Kuwa makini kuna wezi wa hatari mjini

Mmmh kweli wizi upo, huyo mzee laki 8 aliweka kwenye mfuko wa shati??šŸ¤”
Nimewaza tu suruali ukikaa hakuna mtu aweza kuvuta kibunda chote hicho bila kuleta dhahama!

Everyday is Saturday............................... šŸ˜Ž
Nami nimejiuliza hilo, laki 8 cash ni kibunda hasa na kwenye mfuko wa suruali/shati sidhani kama inatoshea.
Labda kama aliishikilia na wakampumbaza kwa madawa yao
 
Nami nimejiuliza hilo, laki 8 cash ni kibunda hasa na kwenye mfuko wa suruali/shati sidhani kama inatoshea.
Labda kama aliishikilia na wakampumbaza kwa madawa yao
Huyu mzee ana ma bucha ya nyama siku hio alikua anaenda mnadani kununua ngombe akafanyiwa mchezo huo huo alikua kaweka mfuko wa suruali jamaa akadondosha mia mbili mzee kuinama kumuokotea tu kalizwa, wale madawa ya waganga hawakosi
 
Hakuna dawa hapo, wabongo mbona mnaamini sana ushirikina?
We mwenyewe unasema ni technique na unawasifia kwamba ni wakarimu, then hapo unawaza habari za madawa.

Alafu kuwa muwazi ebu tuambie wewe umeibiwa nini?
 
Ukikamata mwizi wala usimpige mfanye awe rafiki yako mfungeni kamba mikononi na miguuni,chukua sabuni mpigishe nyeto ule uume ukishadinda chukua chelewa ya fagio lengesha pale kwenye kitobo cha mkojo halafu chelewa unaivunja humo humu unamfungulia anaondoka zake
Hiyo alifanyiwa mwizi mmoja miaka ya 95 pale mtoni kwa kindande
 
Huyu mzee ana ma bucha ya nyama siku hio alikua anaenda mnadani kununua ngombe akafanyiwa mchezo huo huo alikua kaweka mfuko wa suruali jamaa akadondosha mia mbili mzee kuinama kumuokotea tu kalizwa, wale madawa ya waganga hawakosi
Na wengi wanatumia madawa, badae ukija kushtuka ndo unashangaa umeibiwa ibiwa vipi yaan huamini.
 
Kuna jamaa alinipa gwara ile na mm Nampa gwara nikajikuta sina simu mfukon sema na mm ni muhuni kitambo aliitema
 
Habari zenu wadau
Kuna wezi wameibuka hapa Dodoma wanapenda kutembea wawili wawili. Wapo wengi lakini hutembea kwa pair ya watu wawili

Hawa jamaa wanawaibia watu sana kwenye daladala na kama wana dawa kugundua ni ngumu sana.
Techinic wanayotumia kwanza wana maneno ya busara na ukarimu sana wanapanda daladala wote wanakaa siti moja ikishajaa mwizi mmoja anaangalia kati ya waliosimama yupi anaonekana ana pesa wakimuona ambae kidogo anaelekea mmoja ananyanyuka na kukuachia siti ukae yule wa pili ambae atabaki kakaa ndio atakayekuibia.

Huyu aliekaa unakuta ana koti ambalo kalininginiza kwenye bega na hilo koti limefunika mkono mmoja hauonekani huo ndio anatumia kuiba pale mkiwa mmebanana.

Na pia njia nyingine huwa mwizi aliyekaa anaangusha kitu chochote kwa upande wako pesa au simu ukiinama kumuokotea ni kitendo cha dakik 0 unakuwa umeshaibiwa.

Na wakishafanya uharifu huwa wanashuka gafla utasikia konda tuache hapa hapa.

Ukisikia hivo ujue wameshaiba kuna mzee juzi kaibiwa laki nane kwenye daladala, pia kuna siku nilikuwa natoka Nkuhungu waliiba simu ya mama mmoja wakashukia Bahi Road pale mama anakuja kugundua tunakaribia kufika.

Hawa jamaa identity yao ni wakarimu wana maneno mengi sana na mmoja nimemkalili ni mweupe ana upara na hereni sikio moja halafu kajichora tatuu mikononi

Huyo ni mmoja kati ya wengi
Maeneo yao ni Msalato siku za Jumamosi mnadani huwa hawakosi huwa wanapanda daladala wanakwenda na kurudi

Na soko la Job Ndugai nane nane mitaa ile hawakosi

Kuweni makini sana na mtu anayekuchangamkia na kukuachia siti
Hawajui kuwa Dodoma kuna afande Mroto!wawaulize wale wezi wa magari waliotikisa Dodoma kipindi fulani hivi wako wapi...?
 
Huyu mzee ana ma bucha ya nyama siku hio alikua anaenda mnadani kununua ngombe akafanyiwa mchezo huo huo alikua kaweka mfuko wa suruali jamaa akadondosha mia mbili mzee kuinama kumuokotea tu kalizwa, wale madawa ya waganga hawakosi
Mfuko wa suruali upi wa mbele Au wa nyuma??
Nyuma anakuwa kazikalia mbele akiinama kuokota kitu huku kakaa ndiyo kabisaa anazifinyia ndani!
Nakubali kaibiwa nakataa laki 8, tena hao wanaoenda mnadani, huwa hela wanagawa kwenye mifuko kadhaa.

Everyday is Saturday............................... šŸ˜Ž
 
Mfuko wa suruali upi wa mbele Au wa nyuma??
Nyuma anakuwa kazikalia mbele akiinama kuokota kitu huku kakaa ndiyo kabisaa anazifinyia ndani!
Nakubali kaibiwa nakataa laki 8, tena hao wanaoenda mnadani, huwa hela wanagawa kwenye mifuko kadhaa.

Everyday is Saturday............................... šŸ˜Ž
We jamaa wana phd ya kuiba wale huwez kupata jibu wanaiba vip mpaka utakapoibiwa
 
Mmmh kweli wizi upo, huyo mzee laki 8 aliweka kwenye mfuko wa shati??
Nimewaza tu suruali ukikaa hakuna mtu aweza kuvuta kibunda chote hicho bila kuleta dhahama!

Everyday is Saturday............................... šŸ˜Ž
Huwa najiuliza why mtu atembee na laki 8 wakati kuna bank ATM na mawakala kila kona. Kama ni manunuzi kuna huduma ya kulipa online au kwa mitandao ya simu, tena kwa makato kidogo. Laki 8 hata kwenye pochi lazima kibaka ajue maana pochi itatuna tuu.
 
Usi generalize ukifikiri wote wana access na hizo huduma!
 
Back
Top Bottom