Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,585
- 235,438
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasaidia kama wanadamu wengine iwapo nina resource za kufanya hivyo
Nikiwa chini ya miaka 18 ni wajibu ya walionileta duniani kuhakikisha ninapata mahitaji yote ya binadamu
Kama sipati watu hao wanafanya kosa maana sijajileta duniani,wao wamenileta
Hivyo alienisaidia nikiwa below 18 infact wawadai wazazi wangu repayments
Siwajibiki kwa yeyote na jamii hii inafeli inapofanya mahusiano ya wanadamu kama repayments
Huwezi deprive my earning energy for my kids kukufanyia wewe kazi za kulea watoto wako binafsi eti nitapata "baraka"
Kama ni hivyo hizo baraka zichukue wewe zikusaidie kulea hao watoto wako uliowaleta kwa kufanya ngono bila kuelewa wanahitaji mahitaji na sio kwenda kuiba nguvu za wanadamu wengine wakulelee!
Hahaha, hii picture Wala haihitaji maelezo. maFirst born sio kwa kulemewa huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji851]View attachment 1870036
Hivi unajua maana ya neno mwandamizi? Mwandamizi maana yake mkongwe, mzoefu.
Deputy parent ni makamu mzazi.
[emoji134][emoji134][emoji134]Unachofanya hapo ni kuiba mali za watoto wako kuwapa wanadamu wengine ili kujijengea personal glory on their expense!
Pili,kutoa msaada pahali ukajisikia "fahari" ni ugonjwa unaitwa "Social Narcissism"
Unafuja mali za familia na watoto wako kujipa jukumu la kuendesha maisha ya wanadamu wengine ili ujisikie "fahari" moyoni mwako ni wizi na not fair kwa wahusika wa familia yako
Solution hapa duniani ni kila mwanadamu aendeshe maisha yake binafsi na kua responsible kwake yeye binafsi na dependants wake wanao muhusu
Mwanadamu akiamua kutoa msaada kwa mwanadamu mwingine iwe ni hiyari na sio iwe social na religious pressured!
Vile last born tunakula bata[emoji3][emoji851]View attachment 1870036
Ha ha ha[emoji23]Nani kakudanganya?
Mungu yupo hapa duniani ku-reward uonevu?
Yaani wewe ufanye uzembe wako,uhamishie majukumu yako kwa wanadamu wengine wasiohusika then mungu akusaidie ku-reward hao watu unawaonea?
Huyo mungu ni mpumbavu na anasaidia katika uonevu wa watu wasio na makosa
Wazazi hawana uwezo wavune walichopanda wao maana ni maamuzi yao wao binafsi kujiletea yanayowakuta
Kama kuna natural calamities kama ulemavu,vifo,magonjwa makubwa,etc hapo tunaweza ongea and still nina hoja ya kupangua huo upumbavu
Hii virtue binadamu waliyopewa na dini yakua kila binadamu ni sacrificial lamb kwa mwanadamu mwenzie ni very very bad idea
Ha ha ha ha afuu kweli wallahFirst born lazima asulubike ata kama yupo peke yake...haiwezekana first born aharibu titi la mama na baadhi ya viungo vyake afu akikuwa mkubwa eti anataka asisulubishwe....
Ukiwa me ndo usisemeee
Mkuu wachunguze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]... Yanadeka hatareeUngejua...Ila umetutukana[emoji23][emoji23]
Ha haNimecheka Sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nilijua tu mwamba akija hapa lazima atalipua bomu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1316][emoji1316]Hahaha, hii picture Wala haihitaji maelezo. maFirst born sio kwa kulemewa huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa[emoji28][emoji28]
Asante sana,Mungu anasaidia mkuu.Hongera sana mkuu kwa kubeba majukumu ya familia
Akina viziwanda tupo hapa..[emoji3]
Kwani tuliwalazimisha muwahi si mlikuwa mnakimbia kwa spidi kule nanilii mkatuacha!.. tuleeni tu.
Wataniolea ahahahhahahahah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanasemaje?
Hukunisomesha weweFollicles
Ha ha haNasaidia kama wanadamu wengine iwapo nina resource za kufanya hivyo