Me mdogo wangu kaniblock kwenye social media zake zote kisa nlikuwa namfatilia akipost nakwambia unaacha kusoma Kazi kupost. Lakini akiwa na shida msaada wa mawazo au kifedha kimbilio lake ndo Mimi.Mi first born ila kuna huyu dogo ni mtukutu nimempa kipondo mpaka hataki kuniona madogo wakizingua lawama zinakuja kwetu zote sasa ilo sipo tayari nitamyoosha sawia tens barabara, niligoroga sabuni ya unga nikatia pilipil kwa mbaalii nikamloesha nikamlamba waya mpaka nikamuonea huruma
Hongera sana mkuu kwa kubeba majukumu ya familiaHuu uzi umenikumbusha mbali sana,that time niko na miaka 19 tu ndo kwanza naanza chuo
nlikua nshajua kua nategemewa,so bum likitoka tu kama kuna ada nalipa pango nalipa nabakiwa na kihela cha kula na stationery tu,kilichobaki natuma home dogo asome,sikuwahi pendeza wala kula bata na ile hela,nguo zenyewe nkua najiendea karume na nunua matishet ya bukubuku.
lakini ikafika kipindi akawa hataki shule,mara achague shule hiii ile siitaki,sijawahi kata tamaa,siku moja nilituma hela ya ada,maza aliongea kauli ambayo hadi leo haijawahi nitoka
Alisema "pole mwanangu umekua baba katika umri mdogo" i felt that to my bones
Mshua alifariki nikiwa na 5 years,so all our life na mdogoangu maza amepambana sana,so nlijiwekea ahadi kua,nitapambana mpaka tone la mwisho,ili maza na dogo waishi vizuri,thank God amekua akinifungulia milango,hawawezi kosa mkate wala mahitaji muhimu.
Hahaaa uyo nyoko dadeki zake sasa uyo unamsaidia tu then ktk matokeo unamsema mpaka ajione hajui tena unamuumua mbele ya wazaziMe mdogo wangu kaniblock kwenye social media zake zote kisa nlikuwa namfatilia akipost nakwambia unaacha kusoma Kazi kupost. Lakini akiwa na shida msaada wa mawazo au kifedha kimbilio lake ndo Mimi.
Me mdogo wangu kaniblock kwenye social media zake zote kisa nlikuwa namfatilia akipost nakwambia unaacha kusoma Kazi kupost. Lakini akiwa na shida msaada wa mawazo au kifedha kimbilio lake ndo Mimi.
Habari zenu wakuu,
Jamani maFirst born hasa tuliozaliwa kwenye hizi familia zetu za kipato cha kawaida nadhani msoto wa kukabidhiwa majukumu kabla ya wakati mnaujua.
Yani umepata kibarua Chako hata we mwenyewe hujimudu vizuri, unakabidhiwa mdogo wako umsomeshe na majukumu mengine ya nyumbani usaidie. Yani wadogo zako wao slope tu, kitu kidogo mtafuteni kaka/dada Yani ushatwikwa majukumu Kama yote.
maFirst born mliobeba majukumu ya mzazi popote mlipo hongera zenu.
Yani first born akazingua Mara nyingi Wazazi wanapata msongo wa mawazo. Maana kiafrika first born Ni Kama mzazi wakitoka baba na mama yeye ndo anakabidhiwa majukumu.
unachanganya mambo hapo mkuu,Family, Duty and Honor..
Family comes first, kama kichwa cha familia unatakiwa kuwa pamoja na familia yako muda kuilinda, Kuihudumia na kuiongoza..You can't protect the family if you're not with the family.
Duty comes second...As Kiongozi wa familia Timiza wajibu wako katika familia kama kichwa wa familia anavyotakiwa kua..Hatma ya familia ipo mikononi mwako. Kama Kiongozi fanya wajibu wako uweze kuivusha KIUCHUMI,KIAKILI,KIIMANI NA KIJAMII.
Then Honor.. Ukiyatimiza hayo utapata heshima yako unayostahili kama kichwa wa familia. Utazeeka ukiwa una uso ulio na afya njema maana familia yako itakua mikononi salama mwa mtu uliyemrithisha maneno hayo. Family Duty and Honor.
We all want to belong to something...We belong to the family.. Our family that we care and love.
-Vinchii
Imeisha hiyo,kukazia naomba sie mafirst born aka "Deputy Associate Parents" tujuane kwa kugongeana likes hapa..💪👊🤝Habari zenu wakuu,
Jamani maFirst born hasa tuliozaliwa kwenye hizi familia zetu za kipato cha kawaida nadhani msoto wa kukabidhiwa majukumu kabla ya wakati mnaujua.
Yani umepata kibarua Chako hata we mwenyewe hujimudu vizuri, unakabidhiwa mdogo wako umsomeshe na majukumu mengine ya nyumbani usaidie. Yani wadogo zako wao slope tu, kitu kidogo mtafuteni kaka/dada Yani ushatwikwa majukumu Kama yote.
maFirst born mliobeba majukumu ya mzazi popote mlipo hongera zenu.
Ni hatari sana..Habari zenu wakuu,

As kaka mkubwa nashukuru nilipokea majukumu kuwavusha wadogo zangu hadi Uarabuni (UAE) huko wakafanikiwa Ajira na maisha .... sasa sina maResponsibility.!!Me mdogo wangu kaniblock kwenye social media zake zote kisa nlikuwa namfatilia akipost nakwambia unaacha kusoma Kazi kupost. Lakini akiwa na shida msaada wa mawazo au kifedha kimbilio lake ndo Mimi.
Mungu azidi kukupiginia mkuu.Huu uzi umenikumbusha mbali sana,that time niko na miaka 19 tu ndo kwanza naanza chuo
Nilikuwa nshajua kuwa nategemewa, so bum likitoka tu kama kuna ada nalipa pango nalipa nabakiwa na kihela cha kula na stationery tu,kilichobaki natuma home dogo asome,sikuwahi pendeza wala kula bata na ile hela,nguo zenyewe nkua najiendea karume na nunua matishet ya bukubuku.
lakini ikafika kipindi akawa hataki shule,mara achague shule hiii ile siitaki,sijawahi kata tamaa,siku moja nilituma hela ya ada,maza aliongea kauli ambayo hadi leo haijawahi nitoka
Alisema "pole mwanangu umekua baba katika umri mdogo" i felt that to my bones
Mshua alifariki nikiwa na 5 years,so all our life na mdogoangu maza amepambana sana,so nlijiwekea ahadi kua,nitapambana mpaka tone la mwisho,ili maza na dogo waishi vizuri,thank God amekua akinifungulia milango, hawawezi kosa mkate wala mahitaji muhimu.