Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 656
- 1,557
Habari zenu wakuu,
Jamani ma first born hasa tuliozaliwa kwenye hizi familia zetu za kipato cha kawaida nadhani msoto wa kukabidhiwa majukumu kabla ya wakati mnaujua.
Yani umepata kibarua chako hata we mwenyewe hujimudu vizuri, unakabidhiwa mdogo wako umsomeshe na majukumu mengine ya nyumbani usaidie. Yani wadogo zako wao slope tu, kitu kidogo mtafuteni kaka/dada yaani ushatwikwa majukumu kama yote.
Mafirst born mliobeba majukumu ya mzazi popote mlipo hongera zenu.