Mangi Mkubwa
Senior Member
- Jan 3, 2014
- 106
- 29
- Thread starter
- #41
Mkuu hujamsoma vizuri. Nadhani tatizo ni uandishi. Mimi kwa nilivyomuelewa anauliza kama kuna mtu ana hali/tatizo kama lake.
Mkuu nashukuru kwa kunielewa nilieleza tatizo langu na kutaka kujua je ni mimi pekee au lipo kwa watu wengine na kama lipo waliliepukaje?lilikuwa ni hilo ila naona watu 8 anaingiza siasa.