Mangi Mkubwa
Senior Member
- Jan 3, 2014
- 106
- 29
Wana jamvini habarini za leo..
Kuna jambo ambalo linanisumbua sana,kama ambavyo wanaume wengi tumekuwa tukitofautiana katika kuchagua au kutafuta wapenzi,kila mwanaume amekuwa na chagua la moyo wake,kuna wengine wanapenda wanawake weusi,wanene,wembamba,warefu na hata wafupi,achilia mbali suala la tabia kama wasemavyo wengi kuwa mwanamke ni tabia
Lakini katika hili mimi mwenzenu nimekuwa nikipenda sana wanawake wembamba wa wastani na rangi ya chocolate ndio umekuwa ulevi wangu sijui wewe mwenzangu unayesoma hapa.
Lengo siyo kujadili wewe unapenda wa aina gani?; swali langu lilikuwa ni kwamba kuna mwenzangu ambaye amekuwa addicted kama mimi yaani nikitoka nje ya aina ya mwanamke ambaye ninampenda namaanisha mwembamba wa wastani hata tunapokuwa sita kwa sita nakuwa sipaform vizuri au naweza kushindwa kabisa.
Huu ni ugonjwa au nini wana MMU msaada please karibuni wadau.