Kuwa addicted na umbo...

Kuwa addicted na umbo...

Lakini katika hili mimi mwenzenu nimekuwa nikipenda sana wanawake wembamba wa wastani na rangi ya chocolate ndio umekuwa ulevi wangu sijui wewe mwenzangu unayesoma hapa.
suikan.jpg
 
Si men2 hata women tunazo hizo maself napenda tall well built men an black ama Maji ya kunde ,sijawahi date a man asiye na sifa hizo
 
NB:
Halafu acha mtindo wa kukopi habari za watu na kujivisha uhusika, ndio maana umesahau kufanya editing hadi kujikanganya.
Sijui profession yako ila uko vizuri kwenye details mkuu, a lecturer/teacher would be ideal for you!!..
 
Si men2 hata women tunazo hizo maself napenda tall well built men an black ama Maji ya kunde ,sijawahi date a man asiye na sifa hizo
Round off the number of men you've dated to the nearest ten!!! lolz...
 
Si men2 hata women tunazo hizo maself napenda tall well built men an black ama Maji ya kunde ,sijawahi date a man asiye na sifa hizo
Wao! kumbe na nyie siku hizi mnadate?
 
Hapa unadokeza kuhusu mwenzako....

Lakini ghafla bin vuu wajieleza tena wewe mwenyewe....

NB:
Halafu acha mtindo wa kukopi habari za watu na kujivisha uhusika, ndio maana umesahau kufanya editing hadi kujikanganya.
Mkuu hujamsoma vizuri. Nadhani tatizo ni uandishi. Mimi kwa nilivyomuelewa anauliza kama kuna mtu ana hali/tatizo kama lake.
 
Kama umeangalia vizuri kwenye post yangu ya mwanzo kuna maandishi niliyaweka kwa rangi nyekundu, kuna mahali kuna web language ambazo haziwezi kutokea mahali kama mtu hajaziandika au hajazikopi...
 
huo ni mtazamo wako
 
Back
Top Bottom