huyu hata ukimsaidia na moyo unafarijika wengine wasaniiBinafsi huwa nafurahi sana napomuona mlemavu wa namna hii akijishughulisha. Kwa furaha hiyo basi huwa nanunua bidhaa zao hata kama sina matumizi nayo mradi tu niwe sehemu ya wateja wake wa siku!
namjua yuko mrengo wa kati
lakini hajabweteka kuusubiria labda umfuate
Mkuu Don Da Frans, yamekuwa haya?!, haya nitanyamaza mpaka nimalize, itakuwa ni 2015!, maana tu bahasha twenyewe unadhani tuna kitu?!, huwa wanatiamo, 20,000 tuu, sasa nikidunduliza, kumaliza ni zaidi ya miaka 10!, ninyamaze tuu mpaka nimalize?!.
Pasco.
Walemavu wa fikra -Hili ndo kundi kubwa katika jamii ya watanzaniahakuna ulemavu mbaya kama ulemavu wa fikra-JK Nyerere
ni ngumu sana kumtanaibaisha
na kila mwana jf aseme amen
nini kifanyike kunusuru jamnga hili?