Utajiri uko ndani yako!Sasa hapo kwenye kutumia Elimu kujiajiri ndio kuna kaz wakati mtaji hauna
Kuna mengi ya kujifunza hapa....endelea kutufunza mkuuHua siamin sana kwamba elimu yaweza kuvunja poverty cycle,binafsi nimewai kujikuta kwenye hilo janga tena nikiwa na umri Mdogo (sio kama uliemtolea mfano maana yangu hayakua makubwa ivyo)
mm nilikataa shule tena kwa herufi kubwa baada tu ya elimu ya msingi na kuamua kuzamia dunian kukombua kile kilichokua kinaangamua..ya Mungu ni mengi kwa msaada wake nimefanikiwa kuvunja hyo poverty cycle
Sio kazi rais kabisa kuvunja mkataba na umasikin unaitaji kuagana na nafsi, kupamba na umasikini ni sawa kabisa na kupambana na shetani unatakiwa kupambana kiroho(kumuomba MUNGU) na kimwili!
Thanks mkuu
Tutafika tu
preaaaach!!..This is pure gospel.,saving it for later use.Here is my five point guidance of "nothing"
1. Nothing happens without work, it is absolutely important to work in order to better our situations. Some people go as far as defining luck as being good preparations meeting good opportunity.
2. Nothing happens before it's time. This is a complex tautology. Far for advising complacency, a careful analysis will see that this tautology stresses to us to push for the changes we want (as we do not know the appointed time for these changes to happen), but to not despair if the changes do not happen at the timeframe we want these changes to happen.
3. If you frame your context right, nothing will be impossible. The question is, are you framing your context, aligning your talents, focus and resources right?
4. Nothing ethical is beneath the humble seeker. If an opportunity presents itself, but it is not up to the intellectual challenges you want, the job you went to school to do, your social status, etc, but it is legal, ethical and can support you at least for some time while you are aligning your other targets, take it. Albert Einstein was once working as a paltry patent officer in what must have been the lowest level of civil service ranks in Bern, Switzerland. That was just his day job, at night he wrote serious physics papers and corresponded with world famous physicists promoting his ideas. Today, he is a legend. That paltry desk job enabled him to support himself and his family and do his physics without worrying about rent money.
5. Nothing can stop an enterprising smart person. If something is in your way, take that as an opportunity to overcome. Alexander The Great used to cry to his father, that the father, Phillip of Macedonia, was fighting too many wars, killing too many enemies. Alexander was afraid that by the time he grew up, there would be no more enemies to fight and no more lands to conquer. He must have thought "what a boring and inglorious life that would be". Let no crisis go to waste.
Now I feel like I am one of those motivational speakers.
Upliftment and betterment.preaaaach!!..This is pure gospel.,saving it for later use.
Tatizo tukitaka kuingia capitalism wazee watapinga sanaCapitalism ni nzuri kuliko ujamaa maana ya capitalism ni Kazi juu ya Kazi hakuna mjomba kama ujamaa, ni jinsi ya kutap kupata MAARIFA na kuyafanyia Kazi,capitalism usababisha mzunguko Mkubwa sana wa noti,mtaani kuliko ujamaa hivo ni bidii yako tu kwenda spidi.Tusingekumbatia ujamaa tungekuwa mbali sana,ila ardhi tuombe iendelee kuwa ni Mali ya serikali kamwe asiruhusiwe mtu kubinafisha ardhi awe mpangaji tu.
Tena kwa hizi zama za jiwe ndio umaskini anaukoleza vizuri... Ipo cku namimi ntakua raisMtoa mada uko sahihi...Ukizaliwa masikini kuna uwezekano mkubwa sana wa kufa masikini wewe na kizazi chako...tena sasa hivi maisha haya ya kibepari hata ukijitutumua kusoma ajira hamna.....Ukibahatika kupata kazi ujira mdogo...Zile ajira zenye maslahi makubwa zinaishia kwa watoto wa matajiri tu na wenye wazazi wenye connection kubwa....Kuna msemo usemao maji hufuata mkondo..
Njia ya mafanikio sio rahisi kama wanavyo pewa darasa na motivation speakersTotally true!
Inahitajika hata kuhama na kutoongea na some of the ndugu, it’s tough lakini ukiwa na focus lazima utashinda tu!
Kitakacho kushinda ni wewe mwenyewe walahi!
Kuna mtu ninamfahamu aliiba ngombe wa baba yake ili imsaidie katika kujikomboa na umaskini na akafanikiwa!
HaaaaaHere is my five point guidance of "nothing"
1. Nothing happens without work, it is absolutely important to work in order to better our situations. Some people go as far as defining luck as being good preparations meeting good opportunity.
2. Nothing happens before it's time. This is a complex tautology. Far for advising complacency, a careful analysis will see that this tautology stresses to us to push for the changes we want (as we do not know the appointed time for these changes to happen), but to not despair if the changes do not happen at the timeframe we want these changes to happen.
3. If you frame your context right, nothing will be impossible. The question is, are you framing your context, aligning your talents, focus and resources right?
4. Nothing ethical is beneath the humble seeker. If an opportunity presents itself, but it is not up to the intellectual challenges you want, the job you went to school to do, your social status, etc, but it is legal, ethical and can support you at least for some time while you are aligning your other targets, take it. Albert Einstein was once working as a paltry patent officer in what must have been the lowest level of civil service ranks in Bern, Switzerland. That was just his day job, at night he wrote serious physics papers and corresponded with world famous physicists promoting his ideas. Today, he is a legend. That paltry desk job enabled him to support himself and his family and do his physics without worrying about rent money.
5. Nothing can stop an enterprising smart person. If something is in your way, take that as an opportunity to overcome. Alexander The Great used to cry to his father, that the father, Phillip of Macedonia, was fighting too many wars, killing too many enemies. Alexander was afraid that by the time he grew up, there would be no more enemies to fight and no more lands to conquer. He must have thought "what a boring and inglorious life that would be". Let no crisis go to waste.
Now I feel like I am one of those motivational speakers.
ktk mazingira haya haya magumu kuna wadau wabishi wamepambana na wametoka, zaidi sana wametumia mbinu za medani ambazo mtu wa kawaida hawezi kuzipata.Na hizi mbinu za medani hazitajwi na hazitatajwa sababu ni haramu, ikiwemo upendeleo, rushwa, kufanya ujasiriamali kwa niaba ya mtu mwenye mamlaka, wizi, kutolipa kodi, kufanya biashara haramu na baadae kutakatisha fedha. Unaweza ukachukua mfano wa mtu ambaye hujui alipataje mtaji, kumbe baba/babu zake walifanya uharamia na vitu kama hivyo.
Juzi kuna mtu Kenya kasema " mtoto wa maskini akipata atakuwa kaiba, mtoto wa tajiri akipata, basi hela ni za babake".
Jibu ninaloamini mimi ni hili, lazima uchanganye mambo yafuatayo, uwe na elimu, sera zikuunge mkono, uwe na juhudi na ujikane, kazi ifanywe kwa bidii na maarifa na familia yako ikuunge mkono katika mapambano, au achana nayo, lazima uthubutu na kusimamia ndoto zako.