Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

Habari wanaJF
Kwanza napenda kuwasalimu kwa heshima Na taadhima!
Natumai nyote hamjambo Na mnaendelea Na majukumu yenu ya kulijenga taifa letu kulipeleka uchumi wa kati (yaani viwanda)

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu, Mzee Wangu amepatwa Na ugonjwa wa tezi dume , Na madaktari wamempangia kumfanyia operation tarehe 2 October 2018!

Lakini kabla ya kufanyiwa OP nimeona nijitokeze hapa kusaka ushauri, je , hakuna njia nyingine ya kumnusuru Mzee Na operation! Yaani hakuna njia mbadala atakayoweza kupatiwa ili aweze kupona?

Mzee Wangu anamiaka 70 sasa!

Naombeni ushauri jamani!
Kwani una wasiwasi gani akifanyiwa operation??
 
Mkuu wa umri huo wa 70+ ni kawaida matatizo hayo, ila kwa sasa hata wa early 50+ wanapata, ila naomba usikubali afanyiwe operation kabisa anaweza kupona bila hata kufanyiwa hiyo operation anakarejezewa afya kwa ujumla ya mwili wake, yaani utamshukuru Mungu sana. tuwasiliane PM tuyajenge tu
 
Tupia jukwaani mkuu itawasaidia wagonjwa watarajiwa.
 
Pole mkuu kuuguza.
Matibabu ya tezi dume tofauti na upasuaji yapo. Katika ulimwengu wa kwanza wa kimatibabu kuna mbinu inayoitwa Prostate Artery Embolization(PAE)

PAE ni njia ya kisasa isiyo ya upasuaji ya kutibu tezi dume kwa kuzuia mishipa inayoleta damu kwenye tezi. Njia hii ya kimatibabu huzuia damu kuendelea kulisha tezi na hivyo tezi huanza kusinyaa baada ya kukosa supply ya damu. Hii ni teknolojia iliyoonesha mafanikio makubwa ulimwengu.

-Kiwango cha mafanikio ni 85% hadi 90%.
-Muda wa kupona ni mfupi kulinganisha na upasuaji.
-Dalili zinazomtesa mgonjwa kama shida ya mkojo n.k huondoka.
-Mgonjwa hahitaji madawa.
-Nzuri kwa mgonjwa ambaye hafit kufanyiwa upasuaji sababu ya udhaifu au uzee.
-Mgonjwa hulazwa siku 1 tu.

Matibabu kwa mbinu hii hutolewa na daktari bingwa ajulikanae kama Interventional Radiologist.

India wanafanya kwa $3,000 hadi $3,500 na hii hujumuisha gharama ya matibabu, kulazwa mgonjwa na ndugu yake, chakula cha mgonjwa na ndugu hospitalini.
Mkuu huko india si ndio samweli sita alifia huko kwa tatizo hilo? Au nimejimix kutokana na msiba wa "wakara"
 
Tupia jukwaani mkuu itawasaidia wagonjwa watarajiwa.
Mkuu ni kwa njia ya Stem cell therapy mtu anatumia inrejuvinate cells mpya na kuondoa cell za cancer na kulifanya tezidume lirudi katika size yake ya kawaida. Haihitaji kwenda hospitali wala kulazwa ni kuonana na doctor kwa consultation then atajua utumie kwa muda gani kulingana na stage ya ugonjwa. Kama upo Dar, madoctor wanapatikana siku 6 kwa wiki. Anayehitaji anaweza kupata tiba hii ya kisasa na so natural and friendly.

Asanteni sana
 
Costs.
Je bima ya afya hao madocta wanaurafiki?
 
Habari wanaJF
Kwanza napenda kuwasalimu kwa heshima Na taadhima!
Natumai nyote hamjambo Na mnaendelea Na majukumu yenu ya kulijenga taifa letu kulipeleka uchumi wa kati (yaani viwanda)

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu, Mzee Wangu amepatwa Na ugonjwa wa tezi dume , Na madaktari wamempangia kumfanyia operation tarehe 2 October 2018!

Lakini kabla ya kufanyiwa OP nimeona nijitokeze hapa kusaka ushauri, je , hakuna njia nyingine ya kumnusuru Mzee Na operation! Yaani hakuna njia mbadala atakayoweza kupatiwa ili aweze kupona?

Mzee Wangu anamiaka 70 sasa!

Naombeni ushauri jamani!
Jaribu hii ambayo siyo ya kufanyiwa Operation na Inapatikana Uchina mkuu!
3D Prostate Targeted Therapy is an advanced non-surgical method that is not harmful, has no side effects and no possibility of relapse of the original disease, to completely treat various types of prostate disease and complications, such as prostatitis, enlarged prostate, benign prostatic hyperlasia (BPH), prostate cancer, seminal vesiculitis, epididymitis, cystitis, prostate blockage and calcification, and chronic pelvic pain syndrome (CPPS), etc.

The 3D Prostatitis and Enlarged Prostate Treatment Clinics are located in Changsha and Xiangtan City, Hunan Province, China. We have not opened a branch clinic in other countries. If you want to receive our 3D Treatment, you must come to China.The fastest way is to contact your local travel agency to apply for your tourist visa. In this way, the patient can get his visa quickly. We can also offer you the invitation letter and hotel reservation, more about info for Visa please refer to the following link.

http://www.3dprostatecure.com/page.php?cata_id=11&id=231
 
Advanced 3D Prostate Targeted Therapy Successfully Treats Various Prostate Diseases
Itaibua matatizo ya kichina china.
 
Costs.
Je bima ya afya hao madocta wanaurafiki?
Gharama inategemea na stage ya ugonjwa, lakini wastani ni kama 1.8m, bahati mbaya Bima ya Afya haiapply huku, lazima mfuko utoboke ila ina uhakika na haina side effect zozote. Nyongeza hii inarejuvinate cell za mwili mzima, kwa hiyo mwili mzima utakuwa na afya njema tu. Kwa sababu hii sio dawa na wala sio tiba lishe, bali inashughulika na viungo vya mwili mzima.
 
-Hii ni tezi ya wanaume yenye sifa zifuatazo.
~Ina umbo km yai(oval shape)
~Ina ukubwa wenye vipimo hivi, upana 4cm na unene 3cm ingawaje hivi vipimo vinatofautiana kwa kila mwanaume.
~Tezi hii ipo inazunguka shingo ya kibofu cha mkojo na kuzunguka mrija unaopeleka mkojo nje(urethra)
~Tezi hii hua yenye ukubwa wa kawaida lakini huongezeka ukubwa kadri ya umri.
~Tezi hii hutengeneza majimaji yenye rutuba ya mbegu za kiume(shahawa)

SEHEMU KUU ZA TEZI YA KIUME

1.PERIPHERAL ZONE(SEHEMU YA NJE)
~Hii ni sehemu ya nje ya tezi ambayo madakari wengi hutumia hii tezi kubaina kama kuna tatizo kwenye tezi kwani ni virahisi kiugusa km daktari akiingiza ikiingiza index fingure(kidole cha kusontea) kwenye njia ya haja kubwa. Kukua kwa sehemu hii hakuwezi kuathiri utokaji wa mkojo.
2. TRANSITIONAL ZONE(SEHEMU YA KATI)
~ Hii ni sehemu ya tezi ambayo ikikua yani ikiongezeka ukubwa tunasema KUVIMBA KWA TEZI DUME kitalamu BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH) kuna uwezekano mkubwa wa tezi dume iliyovimba kuzuia njia ya mkojo kupita. Kwani ndio sehemu ya tezi iliyo karibu kabisa na njia ya mkojo. Mara nyingi hii sehemu ikikua ndio inayo sababisha matatizo ya kukojoa(obstructive symptoms). Tezi hii pia daktari anaweza kuibaini kwa kutumia kidole kipomo hiki huitwa DIGITAL RECTAL EXAMINATION(DRE)
hii ni kwa sababu ikikua inasukuma ile sehemu ya pembezoni yani peripheral zone kuelekea njia ya haja kubwa. Hivyo dakatri anaweza kubaini km tezi imekua au laa.
3. CENTRAL ZONE(SEHEMU YA KATI)
~Hii sehemu iko mbele ya transitional zone hivyo uvimbe katika sehemu hii ni vigumu kubaini kipitia kipimo hiki cha haraka cha kutumia kidole hivyo tunatumia vipomo vya picha kinaitwa CYTOSCOPY. Hiki ni kipimo cha picha kinacho angalia kipofu cha mkojo na njia ya mkojo na kutoa majibu katika mfumo ya picha au video.

KUKUA KWA TEZI YA KIUME
~Kukua kwa tezi ya kiume kitalamu tunaita BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH). Hili tatizo mara nyingi huanza baada ya miaka 40 hivi na dalili huja kujionesha uzeeni. Hivyo tezi inaweza ikawa kubwa sana lakini haina dalili hii ni kutokana na sehemu gani ya tezi iliyovimba au kuongezeka. Tezi inapoonesha dalili jua tatizo hilo ni sugu na liko ktk hali mbaya.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI
1. Kukojoa mara kwa mara
2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu
3. Kukujoa sana usiku
4. Maumivu wakati wa kukojoa
5.Kupungukiwa nguvu za kiume
6. UTI ya mara kwa mara
7. Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikano wa mkojo.
8. Figo kujaa maji. Hii sababu mkojo huo unarudi nyuma kuelekea figo(hydronephrosis)
9. Kupoteza fahamu(uremia)
HIZI DALILI NIMEZITAJA KULINGANA NA TATIZO LINAVYOKUWA SUGU KWA MGONJWA HIVYO UGONJWA HUU NI HATARI USIPO WAHI.

JINSI YA KUBAINI KUVIMBA KWA TEZI
~Kumbuka BPH sio kansa ni uvimbe tu wa kawaida wa tezi lkn kumbuka tezi hii inaweza kuvimba pia kutokana na kansa ya tezi dume (prostate cancer)
1. Uchunguzi wa kawaida kwa kutumia kidole kupitia njia ya haja kubwa kuangalia kama tezi ina tatizo. Kipimo hiki huitwa DIGITAL RECTAL EXAMINATION. Baada ya kipimo hicho daktari huandika alicho kigusa kama ni ugonjwa au iko kawaida.
2. Hiki ni kipimo cha kupiga picha kibofu cha mkojo kinaitwa CYTOSCOPE. Kumbuka kipimo hiki una ingiziwa waya flani wenye tochi mbele kwenye njia ya mkojo huku huo waya umeunga nishwa kwenye screen. Hivyo chochote huo waya utakacho murika kitaonekana kwenye screen. Ubaya wa hiki kipimo ni kwamba kinaweza kuumiza kuta za njia ya mkojo na baada ya wiki km mbili njia inaweza kuziba mbili jeraha linapo pona. Ila ni kipimo kizuri sana.
3. Kipimo kingine kinaitwa RECTAL UTRASOUND hiki ni kipimo cha kupiga picha kupitia njia ya haja kubwa (rectal) na kutoa picha kwenye jarida gumu kumsaidia daktari kusoma.
4. Kipimo cha kutofautisha kati ya uvimbe wa kawaida(BPH) na kansa ya kipofu(PROSTATE CANCER) Kipimo hiki kinaitwa PROSTATIC SPECIFIC ANTIGEN. Hii ni protein inatolea kwa wingi endapo kuna kansa ya tezi dume. Hivyo damu ya mgonjwa itachukuliwa na kupekwa maabala kuchunguza km ni nyingi kupita kiasi kwenye damu. Kama hii protein ipo kawaida basi uvimbe huo sio kansa ni BPH. Lakini km kiwango ni kingi uvimbe huo ni KANSA. Hivyo uchunguzi zaidi unahitajika kama kuchukua sample ya kinyama kutoka katika tezi na kupeleka maabala.

MATIBABU YA KUKUA KWA TEZI DUME

1. Tezi dume kama haina dalili zozote mara nyingi waga haishighulikiwi sana hospitali lakini dawa za kupunguza kasi anaweza pewa mgonjwa. Lakink ni mara chache.
2. Kama tezi imesha anza kuleta dalili kama usumbufu wakati wa kukojoa siku hizi kuna operation ya bila kukata inaitwa

TRANSURETHRAL RECTIONING OF PROSTATE AU CHANNEL TURP.
Hii operation inafanywa kama akiwa anafanya kipimo cha CYSTOSCOPE. Lakini hapa anaweka wire mbele kiko chamviringo kinapitishwa njia ya mkojo kina enda kukata kinyama kinachoziba i mean tezi iliyovimba. Hapa inazibua njia ya mkojo ili mtu akojoe. Ukifanyiwa operation hii vizuri tezi hujirudia baada ya miaka kama 3-5 tangu siku ya operation.
MADHARA YA TIBA HII
1. Kukosa uwezo wa kufikia kishindo yani hutoi shahawa(RETROGRADE EJACULATION) wazee wengi hulalamika sana baada ya hii operation hivyo ushauri nasaha lazima utolewe ili mgonjwa ajue nini madhara yake kabla ya operation.
2. Kuziba kwa njia ya mkojo kutoka na kuumia kwa njia hizo wakati wa kitendo hicho. Panapokua panapona hilo kovu linaziba njia ya mkojo.
3. Operation kubwa ya kuondoa tezi hio hufanyika kwa kufungua kibofu cha mkojo na kutoa hio tezi. Madhara ni mengi sana kuhusu hii bora ile no mbili
Habari njema nikuwa tunayo tiba nzuri na maalumu kwaajiri ya kuondoa uvimbe wa tez dume na kansa ya tezi dume bila operations iitwayo PROSTATE RELAXATION ...

ukihitaji wasiliana nasi kwa
0659505081
 
Kuna kitu yaitwa
STEM CELL THERAPY
kwa bidhaa kama
. DOUBLE STEM CELL OR CRYSTAL CELL
+SNOWPHYLL

unapona kabisaaaaa Google alafu tupigie +255767831345
 
Asante Sana watoa Mada Kuna msiba nimeudhuria wa rafiki yangu kafiwa na mzazi wake. Chanzo kilikuwa tezi dume akafanyiwa op mwa 2017 mwaka jana hali ikawa Mbaya Oct alipofanyiwa uchunguz wakakuta ishakuwa kansa wanasema ya mapafu Lakin hapa nimesoma na ninaona Chanzo cha kansa kilikuwa ni tez dume.... Kwa sababu alikuwa anakojoa damu na alikuwa anaishiwa damu na nguvu za miguu..... Hakika uzee unatisha yanipasa nibadili ratiba yangu ya kula hadi kuishi ili niwe salama. Mazoezi yanachosha Sana na yanaitaji moyo nimejiwekea ratiba siku 4 kwa wiki nafanya Mazoezi masaa 2 daily

Sent using Jamii Forums mobile app
 
(PROSTATE DISORDERS) TEZI DUME NI NINI?
Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume anayo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume. Kazi ya tenzi dume ni kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen).

Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nalo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida na kusababisha kufinya njia ya mkojo au saratani.

Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume.
  • Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis).
  • Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign Prostatic Hypertrophy-BPH).
  • Saratani ya tezi dume.
Chanzo cha tatizo la tenzi dume ;maambukizi ya bacteria (Prostatitis) mbalimbali ambao wanaweza kuwa ni visababishi vya magonjwa mbalimbali ya zinaa mfano, kaswende, kisonono, pangusa n.k au bacteria wanao shambulia mfumo wa mkojo (UTI) wanaweza kupenya na kuifikia tezi dume na kuishambulia, vyanzo vingine ni kushuka kwa kinga za mwili na ajali zinazopelekea kuumia katika eneo ambalo tezi dume ipo na pia kunamazingira hatarishi yanayo pelekea mwanaume kuathirika na hili tatizo; Kama mwanaume alishawahi kuwa na hili tatizo na hakupata matibabu sahihi.

Pia kuwa na maambukizi katika kibofu cha mkojo au mrija unao tiririsha mkojo (urethra), Kutokunywa maji ya kutosha, Kuwa na wapenzi wengi na kushiriki tendo la ndoa na mpenzi mwenye maambukizi ya magonjwa ya zinaa na HIV/AIDS.

DALILI ZA HILI TATIZO

  • Maumivu wakati wa kutoa haja ndogo au kuhisi kama mkojo ni wa moto na maumivu wakati wa kufika kileleni
  • Kwenda haja ndogo mara kwa mara
  • Mtiririko wa mkojo kuwa dhaifu
  • Maumivu chini ya kitovu Na kiuno na chini ya mgongo
  • Maumivu ya sehemu ambayo ipo katikati ya korodani na sehemu ya kutolea choo kubwa, Maumivu ya korodani na uume
  • Mwanaume mwenye tatizo hili anaweza akawa na homa
Iwapo saratani ya tenzi dume imesambaa mwilini kiasi cha kuhusisha sehemu za jirani ya mwili, mgonjwa anaweza kuwa na

  • Maumivu makali ya mifupa katika maeneo ya nyonga, mapajani na kiunoni
  • Uume kushindwa kusimama (uhanithi)
  • Aidha, mgonjwa huwa na dalili nyingine zinazoweza kumpata mgonjwa mwingine yeyote wa saratani kama vile kupungua uzito, kuhisi kichefuchefu, uchovu, kizunguzungu n.k
TIBA

Matibabu ni ghali na mara nyingi wagonjwa hushauriwa kufanyiwa upasuaji ambao huwa ni gharama. Matibabu yake yanaweza kujumuisha upasuaji wa kuondoa korodani, matumizi ya dawa za kupunguza kiwango cha homoni ya testosterone katika damu (hormonal therapy), au matumizi ya kemikali za kuua seli za saratani (chemotherapy).

Upasuaji
Upasuaji hufanyika kwa wagonjwa walio katika hatua za awali za ugonjwa (stage I na stage II) ingawa pia hufanywa kwa baadhi ya wagonjwa walio katika hatua za mwisho za ugonjwa huu yaani stage III na stage IV. Upasuaji unaofanywa ni ule wa kuondoa tezi dume pamoja na baadhi ya tishu zinazozunguka tezi hiyo.

Tiba ya Mionzi
Hii ni aina ya tiba inayotumia mionzi kuua seli zenye saratani. Tiba ya mionzi hutumika kutibu saratani ya tezi dume ambayo haijasambaa kwenye sehemu nyingine za mwili. Aidha inaweza pia kutumika kuua masalia ya tishu zenye saratani mara baada ya kufanyika kwa upasuaji.

Madhara anayoweza kupata mgonjwa kutokana na aina hii ya tiba ni pamoja na kushindwa kusimamisha uume au uhanithi, kukosa hamu ya kula, uchovu, ngozi kubabuka, kuharisha na kutoa mkojo uliochanganyika na damu.

Tiba ya Homoni
Hii ni aina ya tiba inayotumia dawa zinazopunguza kiwango au ufanyakazi wa homoni ya testosterone mwilini. Testosterone ni homoni ya kiume inayochochea ukuaji wa tezi dume, hivyo basi matumizi ya dawa hizi husaidia kupunguza ukuaji huu na kusambaa kwa seli za saratani. Tiba ya homoni hutolewa kwa wanaume walio katika hatua za mwisho za ugonjwa huu kwa nia ya kupunguza maumivu na kutibu dalili za ugonjwa. Dawa zinazotumika kwa tiba ya aina hii zimegawanyika katika makundi mawili, zile zinazochagiza uzalishaji wa homoni ya luteinizing (luteinizing hormone-releasing hormones, LH-RH) kwa mfano goserelin, nafarelin na leprolide; na zile zinazozuia ufanyaji kazi wa homoni ya androgen kwa mfano flutamide, bicalutamide na nilutamide.

Lakini, ipo njia nyingine ya kukabiliana na tatizo hili ambayo ni TIBA YA SELI SHINA AU CRYSTAL SELI. Crystal cell (stem cells) ni kirutubisho tiba chenye uwezo wa kuhisha seli zilizoharibiwa kwenye tenzi na kuzirekebisha na kusaidia kuchochea uzwalishaji wa seli mpya nzuri zenya afya na hivyo huboresha afya hatimaye kuokoa maisha ya wanaume wengi.
  • Crystal cell husimamisha usambaaji wa saratani kwenye sehemu nyingine za mwili. Aidha husaidia kuhuisha na kuchochea uzalishwaji wa seli zilizokufa wakati wa mionzi au upasuaji.
  • Crystal cell inasaidia thibiti, kuboresha na kubalance uzawalishwaji wa homoni ya testosterone katika ume inayochochea ukuaji wa tezi dume bila mpangilio kutoka na uhitaji wa mwili na hivyo hupelekea kupunguza ukuaji na kusambaa kwa seli za saratani

MADHARA ENDAPO MATIBABU YATACHELEWA
Madhara yanayoweza kusababishwa na utumiaji wa dawa hizi ni pamoja na kichefuchefu na kutapika, upungufu wa damu, kuongezeka uzito, uhanithi na kukosa hamu ya tendo la ngono, matatizo katika ini na matiti kuwa makubwa.

  • Kusambaa kwa bacteria mbalimbali katika damu(bacteremia)
  • Kuwa na jipu kwenye tezi dume(prostatic abscess)
  • Ugumba kutokana na kuathirika kwa manii,mbegu za kiume
  • Pia tatizo hili linaweza likasababisha kansa ya tezi dume(prostate cancer )
kwa ajili ya maswali,ushauri,na maelezo kuhusiana na crystal cell na hili tatizo na matatizo mengine
 
Hospitali nyingi za wilaya zina ultra sound amabayo inaweza kujua ukubwa wa tezi dume.Kitu ambacho hawawezi ni kupima PSA

Hiyo PSA wanapima hospitali gani? Hivi saa zingine ukikojoa alafu umemaliza kila kitu lakini unahisi kama madhihi( yale majimaji yanayotoka na shahawa) yanatoka kwa mbali pia uume ni kama vile unauma kwambali je hii hali husababishwa na nn?
 
Back
Top Bottom