Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,197
Kuna wengine hawawezi kulala bila nguo na hiyo inatokana na mazoea walioyapata boarding school.
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

Nimependa hii, kumbe huwezi kabisa kulala na nguo?
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?
Siwezi, hivi mkiingiliwa na waizi usiku inakuaje?

Ronn M hao hao wezi whatever! ni bora wakukute na nguo kuliko bila nguo.Lily Flower, waizi ndio nini? Au wamaanisha wezi? sasa ukiwa umevaa nguo hawataingia? Au
unahisi wakikukuta na ka-night dress katamu watabadili mawazo? lol
Kuna wengine hawawezi kulala bila nguo na hiyo inatokana na mazoea walioyapata boarding school.
Very poor reasons. Ndo matatizo ya wanawake 'wasomi' hawakosi sababu katika kila jambo.ni kawaida tena kwa wale wanaoishi mikoa ya baridi..
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?
Ndoa ni chama cha walala uchii, niliisikia hii salon.
Na ndio chama chenye wana-chama kila kona dunia,na wafuasi(ambao awaja oa/kuolewa ila wanashrk tendo).Hiki chama kina gharama kulko vingne vyote,pia kina matumizi mabaya thana ila wa2 hawalaumu.
Ndoa ni chama cha walala uchii, niliisikia hii salon.
Na ndio chama chenye wana-chama kila kona dunia,na wafuasi(ambao awaja oa/kuolewa ila wanashrk tendo).Hiki chama kina gharama kulko vingne vyote,pia kina matumizi makubwa ya pesa thana ila wa2 hawalaumu.