Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
Hapo kwenye kupigwa vizinga kwangu mimi wamechuti kabisaaaaa.
View attachment 93091
CC kwa wapiga vizinga wote kama vile King'asti, Smile, lara 1, Mamndenyi, Paloma na Little Angel.
hebu mwambie wengine tunamiliki benk zetu.ukituona na mwanaume ujue ni malovee tu yametupeleka palewatu wa mizinga wapo ila hiyo orodha yako mwalimu saudari mmmh umeuwa bendi
kwani haujui lara 1 ni mtoto wa mzee wa vijisenti? King'asti ni daktari ana mshahara mkubwa, Smile ana mgodi wa dhahabu kule mererani, Paloma mke wa kwenye mtandao wa sosoliso anakula vya bure, Little Angel labda ndo bado anapiga piga mizinga Mamndenyi????????
Hapo kwenye kupigwa vizinga kwangu mimi wamechuti kabisaaaaa.
View attachment 93091
CC kwa wapiga vizinga wote kama vile King'asti, Smile, lara 1, Mamndenyi, Paloma na Little Angel.
Don't fear a fear until fear fears you!
Simwogopi wala siwaogopi!
Niko kwenye mazishi OLASITI ya watu waliouawa kwa mabomu, najua waliofanya hivyo they can strike anytime but siwaogopi!
Hence, I AM FEARLESS.
[TABLE="width: 636"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 54, bgcolor: transparent"]Zaburi
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]12
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]5
[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge, Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji, Sasa nitasimama, asema Bwana, Nitamweka salama yeye wanayemfyonya.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
mkuu niko na mobile!
Yaani hii thread imeniacha hoi mbaya