Masa..hili nalo neno.Inaweza kuwa namna moja ya fundraisingDuu mnalipia lakini kwa Maxence Melo haya matangazo yenu JF....ur making profit dude...changia basi JF walau kidogo, wauza magari, nyumba na hata mashamba...Kitomai upo?
Masa..hili nalo neno.Inaweza kuwa namna moja ya fundraising
Kwa kweli my dia.....kuna watu wananufaika na JF bila hata kutoa mkono wa asante...!
wivu huo SHEM...kwani maxence Mello amelalamika yeye?...muacheni kijana apate kula...ni heri kwa njia hii kuliko kuwA mdokozi....
Shem umeingia kambi ya upinzani lini? kwanza umechangia JF ? muone kwanza ndo maana umefanana na Beyonce...!
hahahaha shem i get that all the time kuwa nafanana naye sana tuuu wala hujakosea iloooooo!.......mwenye wivu ajinyonge....mwache kijana atafute hela aweze kuishi yakhe namna gani shem......mmh kwanza define upinzani???
shem hujui kama mimi ni premium member? Ngoja nimwambie Maxence akupe ban ....upinzani nikubishia hata ukweli! Beyonce
Shem K
teh teh teh kwaheri naenda pub nitakucheck baadaye basi.....
take a good care ur a big gal sawa?
Duu mnalipia lakini kwa Maxence Melo haya matangazo yenu JF....ur making profit dude...changia basi JF walau kidogo, wauza magari, nyumba na hata mashamba...Kitomai upo?