Kuuza na kununuliana magari Tanzania

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Je! unatafuta gari linalouzwa Tanzania au una gari unalohitaji kuliuza lakini haujui umuuzie nani? USIHANGAIKE, wasiliana nami kupitia hii namba. 0717114409
 
Duu mnalipia lakini kwa Maxence Melo haya matangazo yenu JF....ur making profit dude...changia basi JF walau kidogo, wauza magari, nyumba na hata mashamba...Kitomai upo?
 
Mkuu, napenda kujua: lipi ni bora kati ya kununua gari lililokwishaingizwa TZ tayari na kuagiza gari wewe mwenyewe kutoka nje ya nchi let us Japan. Ipi faida na hasara ya kila njia ya hizo 2
 
Duu mnalipia lakini kwa Maxence Melo haya matangazo yenu JF....ur making profit dude...changia basi JF walau kidogo, wauza magari, nyumba na hata mashamba...Kitomai upo?
Masa..hili nalo neno.Inaweza kuwa namna moja ya fundraising
 
wivu huo SHEM...kwani maxence Mello amelalamika yeye?...muacheni kijana apate kula...ni heri kwa njia hii kuliko kuwA mdokozi....

Shem umeingia kambi ya upinzani lini? kwanza umechangia JF ? muone kwanza ndo maana umefanana na Beyonce...!
 
Shem umeingia kambi ya upinzani lini? kwanza umechangia JF ? muone kwanza ndo maana umefanana na Beyonce...!

hahahaha shem i get that all the time kuwa nafanana naye sana tuuu wala hujakosea iloooooo!.......mwenye wivu ajinyonge....mwache kijana atafute hela aweze kuishi yakhe namna gani shem......mmh kwanza define upinzani???
 
shem hujui kama mimi ni premium member? Ngoja nimwambie Maxence akupe ban ....upinzani nikubishia hata ukweli! Beyonce
 
shem hujui kama mimi ni premium member? Ngoja nimwambie Maxence akupe ban ....upinzani nikubishia hata ukweli! Beyonce

hahahahah weak argument shem...yaani wewe unakimbilia miye kupigwa ban shem daaaah!.....sasa lazima nikubishie shem wewe utamzibiaje mwenzio kutangaza ulaji lakini?????????????.......yes i got curve like beyonce and i look like beyonce...ushindwe weye tuu shem.....hahahahah miguu kama pingili za muwa....
 
Shem K

teh teh teh kwaheri naenda pub nitakucheck baadaye basi.....

take a good care ur a big gal sawa?
 
Shem K

teh teh teh kwaheri naenda pub nitakucheck baadaye basi.....

take a good care ur a big gal sawa?

Haya shem wangu na inabidi uanze kupunguza hizo routine za pub shem...zinamaliza pesa hizo haya shauri yako....no wonder kila siku shem uko broke hahahahah!....

haya call me later shem!.....
 
Mkuu kitomai, heshima mbele.

Nashukuru kufahamu huduma yako, ila nina maswali mawili matatu...

Wewe commission yako inakuaje mkubwa kwenye suala zima la mauzo?

Mimi nina RAV4 J, short chassis mileage 100,000 model ya 95. Nataka kuiuza mwishoni mwa mwaka huu nikishaagiza gari nyingine, I hope nitakucheki kwa mchakato mzima.

Naomba unifahamishe kuhusu commission yako inakuaje, na average price ya gari kama hiyo ambayo haina tatizo lolote.. ukizingatia hivi majuz tu nimeipulizia rangi upya.
 
Duu mnalipia lakini kwa Maxence Melo haya matangazo yenu JF....ur making profit dude...changia basi JF walau kidogo, wauza magari, nyumba na hata mashamba...Kitomai upo?

Mkuu una busara kweli, japo avatar yako! mh, tunaona hata aibu ya kuifungua mbele ya wanetu... ha ha haaaaa :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom