Tunaagiza, tunanunua na kuuza magari

kingjohn255

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
383
474
Habari ya wakati huu ndugu zangu, je wewe ni mhitaji wa gari ya kutumia, au una gari na unauza ila hujui uipeleke wapi ili iweze kuuzwa kwa wakati? Basi usihofu Kampuni ya Joex Motors (T) Limited wamekuja na aulihisho hilo
Tunaagiza gari Europe na Japan, tunanunua gari kwa wamiliki halali na tunauza gari kwa bei nafuu sana
Tunapatikana Mikocheni Dsm Tanzania
+255 (0) 719 263 074

Nb: Vitu vya kuzingatia unapotaka kuagiziwa gari na sisi ni viwili tu
01 Tin no yako binafsi au kampuni(Copy)
02 Kitambulisho Chochote ulichonacho(Copy)

Vitu unavyotakiwa kua navyo unapoleta gari yako kwetu kwa ajili ya kukusaidia kuuza au kununua gari
01 Kadi Original ya gari
02 Picha 2 pasport size ya muuzaji
03 makadilio ya kodi uliyolipia TRA wakati uliponunua gari
04 Kitambulisho cha muuzaji (Copy)
05 Uwe tayari kusainiana mikataba ya kisheria

+255 (0) 719 263 074

Sent from my SM-A245F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom