mkuuu janaa nilitokaa kumchana dem manguu kwa kumuacha gaflaa anajifanya mtu wa mungu sanaa iaseee kumbe ni bogo la nyokaaaa huwezi amin hata ukimoana....Kwenye life watu wengi wanafake
yule wa nyuma ameseparate
Unajua asilimia zote tunafake sana, tunajifanya tunarugha nzuri, tunakula vzuri wacheshi kumbe hamna lolote subiri akuonyeshe makucha, yasimba cha mtoto
Hahahhaha!raha sanaa humuuPole sana, kimeumana?
kuvaa ndomu haina tofauti na kupiga nyeto, mwendo ni wa nyama kwa nyamaKuna Jamaa mmoja ofisin anakili kutotumia ndomu Kwa kigezo Kuwa haizuii ngoma,,,!!!
Nimueleze au nimuache atachokutana nacho mbeleni
Sasa kama kakuvulia wewe atashindwa vipi kwa wengine?Kuuza mechi kwa kigezo cha kuwa binti ni mpole, mkimya, mnyenyekevu, mlokole, ustadhat, hana makandokando ni kujitafutia kaburi la mapema.
Kuna siku utakuja kusikia anayoyafanya nyuma ya pazia hutaamini macho yako (japo sio wote).
Ni vyema kujikinga hata kama binti ananena kwa lugha usiaminiamini tuu.
UKIMWI umepigwa daflao na kitu Cha KoronaKuuza mechi kwa kigezo cha kuwa binti ni mpole, mkimya, mnyenyekevu, mlokole, ustadhat, hana makandokando ni kujitafutia kaburi la mapema.
Kuna siku utakuja kusikia anayoyafanya nyuma ya pazia hutaamini macho yako (japo sio wote).
Ni vyema kujikinga hata kama binti ananena kwa lugha usiaminiamini tuu.
Kwa nini maalimKuna mmoja uyoo ostaaazat aiseee ninyamaze
Wa hivyo huwa hatari japo siyo woteKuna binti mpore na mkimya mno,wazazi wake watu wa kanisa sana,kumbee daah wajumbe washawahi kitamboo.
Hata mimi mkuu. Niliuza mechi kizembe sana. Ila baadaye nilimpereka angaza tukajikuta tuko sawa. Ujinga ule sirudiii hata kidogo.Nilishauzaga mechi kwa kigezo hicho. Safari ya angaza ilipofika nilikimbia majibu mpaka leo sijayafata... mwanamke usimuamini hata kwa kumtania