Kuuza mechi kisa binti mpole

Greg50

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
1,986
Reaction score
2,501
Kuuza mechi kwa kigezo cha kuwa binti ni mpole, mkimya, mnyenyekevu, mlokole, ustadhat, hana makandokando ni kujitafutia kaburi la mapema.

Kuna siku utakuja kusikia anayoyafanya nyuma ya pazia hutaamini macho yako (japo sio wote).

Ni vyema kujikinga hata kama binti ananena kwa lugha usiaminiamini tuu.
 
Kupima kwa macho ni hatari sana wakuu bora nisifanye kuliko kujiaminisha kwa macho. Kinga muhimu sana tujikinge Magonjwa yapo.
 
Kama wale walokole swaafi na waimba kwaya ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji17][emoji17]
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…