Kuuza bidhaa online (Ebay,alibaba nk)

Kuuza bidhaa online (Ebay,alibaba nk)

Pelly

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
265
Reaction score
341
Habari zenu, naomba mwenye kujua anisaidie nipo na bidhaa yangu nataka kuuza siku nyingi ila kila nikijaribu naona nakwama toka kikuu ifungwe natamani kuuza kwenye hizi online shops kama hizo, amazoni,alibaba na alibaba and so.
Asanteni
 
Kule ni kununua sio kuuza kama unataka kuuza nenda jiji.com
Sio kwel, platform zote unaweza kuuza na kununua bidhaa, kikubwa ni yeye kufanya mawasiliano na kampuni husika Ili apewe utaratibu wote jinsi ya kufanya nao biashara,
Platform ni kwaajili ya kumkutanisha mteja na Muuzaji
 
Back
Top Bottom