Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
- Thread starter
- #41
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nchi hii.Na hao wakianza kufikisha miaka 18 wanaanza kuzaana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nchi hii.Na hao wakianza kufikisha miaka 18 wanaanza kuzaana.
Jamaa gan hao mkuu?Tuombe tu kwamba hawa jamaa wa Corona Project wasifanikiwe ajenda yao, sawa!???
HahahaKusema ukweli hali ya Dar siku zijazo ni ngumu. Ukipita sehemu zinazoitwa za ''uswazi'' watoto wenye umri kati ya miaka miwili mpaka kumi ni wengi kweli kweli. Utafikiri unapishana na sisimizi.
Kusema ukweli hali ya Dar siku zijazo ni ngumu. Ukipita sehemu zinazoitwa za ''uswazi'' watoto wenye umri kati ya miaka miwili mpaka kumi ni wengi kweli kweli. Utafikiri unapishana na sisimizi.
Hali ni mbaya sana hii Tanzania ya viwanda[emoji23]Na bado.
Katika miaka 10 ijayo population ya Dar inaweza kufikia watu milioni 14 kirahisi sana.
Hiyo ni zaidi ya double population ya sasa.
Siasa za hovyo hovyo ndizo zimeifikisha hii nchi hapa.Mkuu pole sana. Najua ni jambo la kukasirisha na kushangaza lakini ukishakuwa na mtawala ambaye anaongozwa kwa hulka zake, tena mbovu kabisa, hakuna namna. Yeye anadai ndiyo wapiga kura wake. Mbegu anayopanda imeshamea na itachukuwa muda mrefu kuja kuiondoa. Huwezi kuwa na nchi ambayo haina utaratibu. Kila sehemu haiwezi kuwa sehemu ya biashara. Wengi wanadhani hasara ya hili jambo ni usumbufu kwa watu wengine au ajali kuweza kutokea, lakini mimi naona kuna zaidi. Hawa watu kadiri muda unavyokwenda ndivyo wanavyozidi kuongezeka na kufanya biashara kiholela. Kuna siku isiyo jina litakuja kutokea la kutokea na watageuka kuwa jeshi litakaloipundua nchi. Wanaoshabikia hii hali hawaoni mbali. Vurugu ni rahisi sana kutokea na ikishatokea kuwamudu itakuwa ngumu sana.
Hali inatisha sana.Na bado.
Katika miaka 10 ijayo population ya Dar inaweza kufikia watu milioni 14 kirahisi sana.
Hiyo ni zaidi ya double population ya sasa.
Sawa[emoji1666]Acheni watu wapige ela hata Bakheresa alianzia barabarani
Shida mnaleta siasa kwenye kila kitu.Hao ndio walikuwa wateja wa vyama vya upinzani
Naona kuna watu hawafurahii kupoteza wateja.
Poleni sanaWakuu salaam;
Katika pilika pilika zangu za hapa na pale nimekutana na hali ambayo kwa mtu yeyote mwenye akili timamu atakubariana nami kuwa huku sio kuwajali au kuwapenda wafanyabiasha wadogo maarufu kama (machinga), bali ni kuwajaza ujinga na kuwahatarishia maisha yao na (wao pia kujiweka katika mazingira ya kupoteza maisha au hata vilema vya kudumu).
Ukifika katika mji wa Mwanza utashika kichwa na kustaajabu kuona jinsi gani akili za watanzania wengi (wenye mamlaka na wasio na mamlaka) hazifanyi kazi kwa busara.
Kwanini nasema hivi? Katika hali isiyo ya kawaida katika makutano ya barabara (round about) za Pamba na Nyerere wafanya biashara wamepanga bidhaa hadi katikati ya barabara, robo tatu ya barabara imejaa vitunguu, nyanya ndimu/limao dagaa, mchicha na watu,barabara ambayo inaruhusu magari kuanzia matatu kwenda kwa pamoja sasa haiwezekani linakwenda gari moja tena kwa tabu watu wamejaa barabarani round about eti wanafanya biashara!
Huu ni zaidi ya upumbavu, serikali ya jiji inaona na inakusanya mapato njia zimeziba watu wanauza tembele katikati ya barabara.
Huu si uzalendo au kuwapenda wafanyabiasha ni kuwatafutia vifo na vilema vya maisha, barabara ni sehemu ya kuheshimu na hazitakiwi ku be blocked, tujifunze kwa wenzetu, huwezi kuta shughuli za ajabu ajabu barabarani wala kwenye hifadhi ya barabara.
Serikali ya jiji la Mwanza litafutieni ufumbuzi suala hili, isijifiche kwenye mwanvuli wa serikali ya wanyonge, hali ya kuwa maisha ya hao wanaoitwa wanyonge yako hatarini.
Zaidi ya kusababisha foleni zisizo na msingi na adha kwa waenda kwa miguu,inahatarisha maisha ya wauzaji na wanunuzi kwa kiwango kikubwa mno.
Napendekeza watu hawa watafutiwe sehemu nzuri na salama wafanye biashara na waliingizie taifa kipato na wao pia wapate kuendesha maisha yao,kuuza bidhaa hadi katikati ya barabara italeta maafa hivi karibuni,sipendi itokee ila bila kuchukua tahadhali haliwezi kuepukika.
View attachment 1720275
Shida ndo hiyoShida mnaleta siasa kwenye kila kitu.
Na virobaNgoja atokee Dereva aliyekunywa Konyagi
Umesomeka mkuuNgoja utawasikia sio muda yaani ikitokea bahati mbaya gari limekata break mtegemee kusikia makubwa.
Ni hatari sanaMkuu sio muda wanaendelea kusogea yaan gari linapita miguuni kwao kabisa,wamekaa na nyanya na vitungu kwenye lami,high way halafu round about.