Kuuliza sio ujinga

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Napenda kujua maana halisi ya hili neno #period unakuta mtu anaongea au anachangia mada hasa kidhungu then anamalizia na neno #period napenda kujua huwa linamaanisha nini hasa,,,kuuliza sio ujinga
 
is the time taken for a pendulum bob to complete one oscillation teh...

Umeniacha segera mkuu sijui niende tanga au dsm tumia lugha ya kikwetu kidogo
 
Period ni nukta. Kwa hiyo kwa sababu anaongea anaitamka nukta. Ni kama kusema mwisho wa mjadala.
 
Napenda kujua maana halisi ya hili neno #period unakuta mtu anaongea au anachangia mada hasa kidhungu then anamalizia na neno #period napenda kujua huwa linamaanisha nini hasa,,,kuuliza sio ujinga

Waingereza wasema "full stop"
Wamarekani wanasema "period"
Waswahili wanasema "tamati, mwisho, au nukta."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…