Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,881
- 60,307
Mkuu usianze na pesa za noti hizo ni rahisi kujikopesha mnoo. Kwamba upate 50,000 alafu utoe 10,000 uweke hahahaha kesho tu unajikopesa. Weka pesa za sarafu sarafu hata kama kuna mtu anaomba pesa utaona uvivu kubeba kifuko cha 50 kwa 50 kwenda mpesa kumtumia.hicho kipaji isee
Unatumia mbinu gani ili vishawishi vya matumizi visikuzidi speed?Kwangu ni rahisi saaanaa yaani naweza kuweka pesa tarehe moja january mpaka december 31 ndo nicheki zimefika ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka SACCOS kisha sahau
Kipato kidogo mfano shilingi ngapiKama una kipato kidogo utatunzaje sasa hela yako utaishia kula tu hakuna cha kipaji wala nini hapo mchawi ni kipato.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa haitunzwi, inawekezwa. Ukijua hili utaacha mambo ya kutunza pesa.
Sawa mkuuMkuu usianze na pesa za noti hizo ni rahisi kujikopesha mnoo. Kwamba upate 50,000 alafu utoe 10,000 uweke hahahaha kesho tu unajikopesa. Weka pesa za sarafu sarafu hata kama kuna mtu anaomba pesa utaona uvivu kubeba kifuko cha 50 kwa 50 kwenda mpesa kumtumia. Au kubeba mzigo wa mia mia ili ujikopeshe kwa jambo lisilo na uzito so itakuwa imekusaidia kiasi moyo kuanza kuzitoa kwenye mahesabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazipati hasa mia tano ila hizi nyingine zinapata ili kuzuia unaweka mafuta ya kupikia kidogo hapo mwaka mzima fresh
kuna watu wanavipato vizur tu ila utunzaji hawajabarikiwa..
Boss saving without purpose of saving is impossible... Tafuta lengo la kufanya saving for instance unataka kujenga kununua gari, wedding, business, Alafu ndio uanze kuweka pesa.. Bila hivyo unapoteza Muda..Ni uamuzi tu.