Vipi wale waofanya kazi au biashara ndogo kabisa lakini unakuja sikia kajenga.Kama una kipato kidogo utatunzaje sasa hela yako utaishia kula tu hakuna cha kipaji wala nini hapo mchawi ni kipato.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kipaji iseeKwangu ni rahisi saaanaa yaani naweza kuweka pesa tarehe moja january mpaka december 31 ndo nicheki zimefika ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Za kuambiwa changanya na zakovipi wale waofanya kazi au biashara ndogo kabisa lkn unakuja sikia kajenga
Iko hivi mkuu, usianze kutunza pesa nyiiingi wakati bado haijawa tabia yako. Kwanza anza na pesa za sarafu mia, mia mbili, hamsini jero nk. Ukirudi home rushia chenji zote ulizonazo mahali endelea na mambo yako. Kesho tena hivyo hivyo nk.we..kidogo unaanza kunifungua macho sasa..kivipi nifafanuli mkuu
Ningeweka picha ya pesa ninavyoweka ila sitokuwa salama coz kuna ndugu zangu kadhaa wanajua wataona. Ila mm kwa sasa naweka hata kwenye kindoo kidogo simple tu mpaka kinajaa hata kama ni miaka 2 ndo nahesabu. Mwaka jana mfano nilikuwa na visado vinnewe..kidogo unaanza kunifungua macho sasa..kivipi nifafanuli mkuu
Ni malezi tu mzee wangu alinifunza toka niko darasa la pili ananipa pesa alafu ananiambia niiweke akiba nije kumwonyesha chrismas, nikimwonesha ataninunulia zaidi zaidi. Imeenda hivyo mpaka nikiweka akiba leo moyo unaziondoa kwenye matumizi kabisa mpaka muda ufike.hicho kipaji isee
Ungekuwa na uwezo huo usingeweza kuishia kuandika mistari mitatu iliyojaa majivuno na kusepa. Umemsaidiaje mleta Uzi?Kwangu ni rahisi saaanaa yaani naweza kuweka pesa tarehe moja january mpaka december 31 ndo nicheki zimefika ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivi mkuu, usianze kutunza pesa nyiiingi wakati bado haijawa tabia yako. Kwanza anza na pesa za sarafu mia, mia mbili, hamsini jero nk. Ukirudi home rushia chenji zote ulizonazo mahali endelea na mambo yako.Ungekuwa na uwezo huo usingeweza kuishia kuandika mistari mitatu iliyojaa majivuno na kusepa. Umemsaidiaje mleta Uzi?
Nonsense!
Sent using Jamii Forums mobile app