Naomba msaada wakuu nataka kudownload skype kwaajili ya kutumia kwenye I phone4 Lila mara inakataa. Msaada wakuu