Kutumia PSI (Condom)

Wengi tunapo fanya mambo yetu yale na watu ambao hatu waamini huwa tunatumia PSI. Lakini huku tukiwa tunakula lita za fluid. Ina maana hizo PSI tunavaa kwa mazoea au?
assume kwamba probability of getng HIV=99%(doing without condom)+1%(sharing romance)
,Unaweza ukazikonvert ktk probabily then utaona kama kondom nimuhim as usipotumia proba nikubwa ya kupata maambukizi
 
PSI ni muhimu kuzitumia, lakini usiwe unakula mate, itumie kwa uangalifu usijejimwagia madude yaliyoko ndani.
 
Back
Top Bottom