Kutumia Nokia pc suite

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Pia naomba msaada wa kuunganisha cm kwenye computer kwa kutumia usb cable au bluetooth iwe connected na nokia pc suite,mana nilitumia usb cable flan ya nokia nikapata lakin kwa sasa kila nikitumia usb cable niliyo nayo ambayo ni ya kichina sipati connection ingawa usb cable inasense kwenye cm lakin hakuna signs kwenye computer,msaada tafadhal mwenye kujua hili
 
Inawezekana tatizo lipo kwenye hiyi USB cable, mi nakushauri jaribu kutafuta usb nyingine ama update nokiapc suite yako.

kama vip subiria wataalam hapa
 
Nadhani tatizo lipo katika USB cable yako. Kama vipi tafuta USB cable mpya au tumia bluetooth kama computer yako ina uwezo wa bluetooth
 
Pia naomba msaada wa kuunganisha cm kwenye computer kwa kutumia usb cable au bluetooth iwe connected na nokia pc suite,mana nilitumia usb cable flan ya nokia nikapata lakin kwa sasa kila nikitumia usb cable niliyo nayo ambayo ni ya kichina sipati connection ingawa usb cable inasense kwenye cm lakin hakuna signs kwenye computer,msaada tafadhal mwenye kujua hili

Nokia wana cable za aina nyingi (japo appearence ni moja) so inawezekana mwanzo uli install driver za cable ya 1 (ulipo install pc suite) halafu sasa hv unatumia cable nyengine ingia link hii hapa

nokia driver cable

Ili kujua aina ya cable mwisho wa cable sehemu ya kuchomekea utaona kikaratasi kimeandikwa
Ie, duk, ce, ca,
 
Jeff

Diagnise fault unayopata ya connection kupitia PC suite yenyewe sehem ya help

Na if kuna error msg or code, copy paste ktk google, for sure utapata clue what went wrong on your connection

All the best
 
Back
Top Bottom