Kutumia MB za Tigo za whatsapp ku-surf internet

zeromagic

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
186
Reaction score
67
wadau,
wiki ka tatu zilizopita nilikua najiunga vifurush vya wasap vya tigo na kufanikiwa kutumia kifurushi hicho kweny kusurf internet na kufungua page mbalimbali na hata kudownload. Nilikua natumia tecno j5. lakini nilivyobadili simu baada ya kuuza simu ya awali siwez tena kutumia hii "nyezo".
anayejua hii trick anielekeze jins ya kutumia mb za wasap au mb za youtube kusurf kwenye site nyingine
 
Acha mteremko,umejiunga special for whatsap,use 4 whatsap
 
wamebadili kifurush mkuu, ilikuwa ni simu zote hadi pc ila sasa inakataa. jaribu kutumia opera mini, kwangu bado inatumia mb hizo.
 
wadau,
wiki ka tatu zilizopita nilikua najiunga vifurush vya wasap vya tigo na kufanikiwa kutumia kifurushi hicho kweny kusurf internet na kufungua page mbalimbali na hata kudownload. Nilikua natumia tecno j5. lakini nilivyobadili simu baada ya kuuza simu ya awali siwez tena kutumia hii "nyezo".
anayejua hii trick anielekeze jins ya kutumia mb za wasap au mb za youtube kusurf kwenye site nyingine
Hebu elezea vizuri na Mimi nijaribukuwaibia

Nikile kifurushi cha whatsaap only kwa mwezi?
 
Tigo hovyoo

Nawashangaa wanaotumia internet kwenye mtandao wa Tigo mna moyo sana ..

Nina line yng ya tigo INA Gb10 lkn ipo dirishani nimeiweka tu,. Hawa jamaa sana network mbovu cjui ni mm pekee yangu au
 
hakuna mtandao ambao Tanzania nzima una internet yenye kasi, kila sehemu kuna mtandao fulani una speed zaidi.
 
Back
Top Bottom