tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,149
Wakuu naomba mnijuze kama hili linawezekana, zamani wakati wa analogy nimewahi tumia tv tuner sasa kwenye hii digital kuna uwezekano huo kweli?
Natanguliza Shukrani!!
Natanguliza Shukrani!!