Ndaxy EMI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 526
- 319
Naomba ufafanuzi wa hawa wahanga wa hii kadhia na mambo anayoyafanya Paul.
1. Mama Malecela alidanganywa ishu ya watumishi hewa akatangaza na hata masaa 24 hayakupita akatumbuliwa. Mbona Paul kadanganywa na yule mwekezaji aliyempa ardhi ya kujenga viwanda pale Kigamboni na akatangaza na kumsifia hadharani lakini hajatumbuliwa.
2. Dr. Mwelle alitoa taarifa ambayo yeye hatakiwi kuitoa na hakudumu zaidi ya masaa sita. Lakini Paul katoa taarifa za madawa ya kulevya ambayo mwenye jukumu ni waziri mkuu na bado yuko anadunda Ikulu ndogo.
Utofauti ni upi?