Tatizo hilo kisayansi linaitwaMwanangu Rahma anaweza kuandika kama ulivyoandika. Haina mashiko hadithi yako, moja, pili hatujakanusha kwamba habari ipo au haipo ila tumeuliza maswali ambayo wewe ulitakiwa ujiulize kabla ya kuleta hii kiungo ya ndizi hapa aka UTUMBO.
Tatizo hilo kisayansi linaitwa
Tatizo hilo kisayansi linaitwa AMBIGUOUS GENITALIA na ni watu kibao linawakuta na wameelezea kabisa wengine hujitambua kipindi wanabalehe au kipindi cha kutaka kuzaa/kuzalisha!..Mwanangu Rahma anaweza kuandika kama ulivyoandika. Haina mashiko hadithi yako, moja, pili hatujakanusha kwamba habari ipo au haipo ila tumeuliza maswali ambayo wewe ulitakiwa ujiulize kabla ya kuleta hii kiungo ya ndizi hapa aka UTUMBO.
Tatizo hilo kisayansi linaitwa AMBIGUOUS GENITALIA na ni watu kibao linawakuta na wameelezea kabisa wengine hujitambua kipindi wanabalehe au kipindi cha kutaka kuzaa/kuzalisha!..
Wanatambulika na Umoja wa Mataifa kama INTERSEX. Yawezekana kweli hakujijua na huyo mpenzi wake either anamuibia au kweli anamfikisha kilele kwanza mapenzi sio kuingiza dudu pekee!.
KWA HIYO MUDA WOTE HUU ALIKUWA HAJUI KAMA ANATOKA DAMAU YA WMEZI AU KAANZA AKIWA NA MIAKA 29......KWA HIYO ALIKUWA HAJUI KAMA ANA UKE AU....MAANA KISIMI KIREFU NACHO INATEGEMEA KIKOJE...SASA KUSEMA AKIWA 29 NDO KAENDA HOSPITAL KUCHUNGUZA MBONA INATIA UTATA KUWA ANAJIJUA TU ILA KAENDA KUHAKIKI...YANI WAZAZI WASIJUE AU WALIJUA WAKAAMUA KUMKUZA KIUME
bora umeona mkuu nkajua mimi tu ndio nimeona utataMkuu huyu msela ni muongo sana aisee angalia hata maana ya huo ugonjwa hapo na alichokiandika yeye
Mkenya huyu akiri kuwa na jinsia ya kike na ya kiumeWe jamaa hii habari sijui umeiokota wapi.
Huyo mtu alikua anatumia kiungo gani kutoa haja ndogo? Na hilo simi lina tundu kabisa kwa mbele au?
Na hizo damu za hedhi zilikuwa zinapitia wapi?
Vipi kuhusu pumbu zimemuota wapi?
Maziwa je?
Jinsia mbili wapo saana ila sio kama unavyosema wewe
kama unacho kirefu safi sana niliona kwa wajita kirefu kama mkunyenge wa mtoto wa miaka minne.hadi kisimame bila hivyo hujala mzigoSasa wenye viharage virefu kumbe tunaweza kuvitumia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Rafiki