Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,311
- 12,202
- Thread starter
- #41
hahahh nilipoisikia ikabid nicheke lakini nimefaitiria hicho Ambiguous Genitalia ni kweli kuna watu wanazaliwa hawajui kwamba ni wanawake au wanaume mpaka miaka ya badae sana.Hapana mkuu mm siamini hao walikua wanasagana tu..
Hebu fikiri
Matiti alikua hana?, sauti,Hips kutanuka, je kukojoa alikua anakojoa vipi? Kwa hicho kidude au tundu lake?
Lakini uchi wa mwanamke unaonekana ulivyo, kuanzia mashavu hadi muundo wake mzima au ndo tuseme alikua na K ndogo ka kisoda?
Mimi habar hii naikataa.. Is fabricated story!
UN inawatambua kama Intersex na kuna mwanaharakati mmoja yupo hapo Uganda anaitwa Julius Kaggwa na shirika lao la Support Initiative for People with atypical sex Development (SIPD).
Kweli maajabu hayaishi duniani.