Kutotambua jinsia yako

Kutotambua jinsia yako

Usifatilie umri wangu fatilia mada yangu!. Kuna baadhi ya wajinga wamezeeka tu!.

Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Mhe. Dr. Jakaya Khalfani Mrisho Kikwete aliwahi sema akili za kuambiwa changanya na za kwako, sasa wewe za kwako umeweka matakoni unataka kutumia zakwetu, tunatumia za kukwetu kukujuza bado unaleta ubishi wa kitoto.

Umri unatoa tafsiri ya mambo mengi sana mkuu.
 
Huwa sijibu 'wapumbavu' majukwaa ya heshima, ungeifatilia hiyo habari CloudsFm archive ukaisikiliza ningekuona wa maana!.
Age is just numbers, narudia "SIO KILA MZEE ANA BUSARA, KUNA WAJINGA WENGINE MMEZEEKA!"..
 
Hii dunia everything is possible.Juzi Uganda tumeambiwa watoto mapacha wana baba wawili tofauti,so na hilo linawezekana
 
1. Hiyo damu inayotoka kila mwezi inatoka kwenye kiungo gani?
2. Inamaana huyo girlfriend hakuwahi kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine au hakuwahi kuona maumbile ya kiume ashindwe kutofautisha kati ya uume na hicho unachokiita kimezidi?
3. Kama hana maziwa na ana korodani inakuwaje useme ni mwanamke?

Hii habari ina ukakasi mwingi sana
 
Na ndio kilichonishangaza ilikuaje, lakini hiyo habari nimeisikia asubuhi hii CloudsFm na daktari mmoja kaielezea kwamba wazazi hawana utambuzi inafikia kuwalea watoto wao kwa jinsia tofauti kama huyo kijana!..
Maelezo mengine kama kisimi, vulva na nini alikuwa anaendelea lakini wakamkatisha kwamba maadili ya utangazaji hayawaruhusu!..

Mkuu ngoja nikushauri kitu, achana na kusikiliza Clouds FM ni redio ya ajabu sana aisee kuthibitisha hili "Miaka ya nyuma kuna mgeni mwalikwa mmoja alikua akisimulia redioni kwamba ameanza kupiga nyeto toka ana miaka 16 mpaka wakatihuo alikua ana miaka 35"

Swali la msingi likawa KWAHIYO SISI TUFANYEJE?
 
Njia Panda,! Haiingii akilini vipi matiti ,hana? Pia kama alijijua wakiume akikutana na mwenza wake anafika vipi kileleni (kukojoa) miaka 26 yeye binafci hakujitambua ? [emoji30][emoji30]
 
Sasa kama alikuwa na girlfriend na walikuwa wanakutana na huyo anayesemekana sasa kuwa na mwanamke, ina maana alikuwa anasimamisha na kufikia kileleni na kutoa shahawa. Sasa inakuwaje? Sijaelewa je ana korodani?
Ni ajabu lakini yametokea hebu soma hii hapa chini nimefanikiwa kuipata!.
hivi karibuni tumepokea kijana mwenye miaka 29, ambaye amelelewa kama mtoto wa kiume maisha yake yote, tayari ana mpenzi wake lakini hadi alikuja hospitalini baada ya kujiona anapatwa na hali tofauti na maumbile yake.
“Hupata hedhi kama mwanamke, tulipomchunguza tuliona ana kinena na uke na tulifanya uchunguzi kwa vipimo vya kitaalamu zaidi vikatuonesha ndani ya mwili wake ana mfumo wa uzazi wa mwanamke.
 
Mkuu ngoja nikushauri kitu, achana na kusikiliza Clouds FM ni redio ya ajabu sana aisee kuthibitisha hili "Miaka ya nyuma kuna mgeni mwalikwa mmoja alikua akisimulia redioni kwamba ameanza kupiga nyeto toka ana miaka 16 mpaka wakatihuo alikua ana miaka 35"

Swali la msingi likawa KWAHIYO SISI TUFANYEJE?
Mkuu nimeupdate baada ya kuipata taarifa au kuisumarize soma hii!, then next time you need to know wengine hatutafuti likes na posts nying JF.
hivi karibuni tumepokea kijana mwenye miaka 29, ambaye amelelewa kama mtoto wa kiume maisha yake yote, tayari ana mpenzi wake lakini hadi alikuja hospitalini baada ya kujiona anapatwa na hali tofauti na maumbile yake.
“Hupata hedhi kama mwanamke, tulipomchunguza tuliona ana kinena na uke na tulifanya uchunguzi kwa vipimo vya kitaalamu zaidi vikatuonesha ndani ya mwili wake ana mfumo wa uzazi wa mwanamke.
 
Da'Vinci
Ina maana hizi post za vibamia yawezekana kuna wenzetu wengine wanazaliwa KE-ME!?..
Hapana mkuu mm siamini hao walikua wanasagana tu..
Hebu fikiri
Matiti alikua hana?, sauti,Hips kutanuka, je kukojoa alikua anakojoa vipi? Kwa hicho kidude au tundu lake?
Lakini uchi wa mwanamke unaonekana ulivyo, kuanzia mashavu hadi muundo wake mzima au ndo tuseme alikua na K ndogo ka kisoda?
Mimi habar hii naikataa.. Is fabricated story!
 
Hii habari ina uongo uongo mwingi sanaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom