Kutotambua jinsia yako

Kutotambua jinsia yako

Muhimu kukagua nyeti Mkuu. Akikataa uzikague nyeti STUKA SANA!!! 🙂
Na wabongo tunavyopenda kugegedana gizani!.. Inawezekana tatizo ni kubwa!.
Niliwahi pata msichana akawa ananipa kalenda kuja fatiria mwenzake akanambia "huyo ana kisimi size ya kadushe" nilishangaa lakini sikuwahi muuliza na nikapotezea!..
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Unaendelea nae au?

Kama u.emuacha nipatie namba zake
 
Hahahahaha lol! Lakini kuna KE wengine wako hivyo Mkuu ila nimecheka sana eti kisimi saizi ya kadushe LoL!

Hahh!!..ye mwenyewe hajui najua!. Ila unajua watoto wa hosteli mwenzake akanitonya. Ni toto kweli, ila ndio hivyo style gani nitatumia kumwambia "nitavumilia kadushe kako".
 
Mkuu usiku huu kuanza kufunua vifungu tena na kamvua haka wacha nipumzike
Hahahah Ukiamka kesho nisolvie hii The ship of Theseus Paradox ukiweza nicheki!..I know utaliishi jina lako Da'Vinci'
 
Hahahahaha lol! Lakini kuna KE wengine wako hivyo Mkuu ila nimecheka sana eti kisimi saizi ya kadushe LoL!
Hahahaa!!..Na linamtesa sana! hajiamini!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahh!!..ye mwenyewe hajui najua!. Ila unajua watoto wa hosteli mwenzake akanitonya. Ni toto kweli, ila ndio hivyo style gani nitatumia kumwambia "nitavumilia kadushe kako".
Aha ha haaaaa! Eti "NITAVUMILIA KADUSHE KAKO"
Ila mkuu kama unampenda na unamalengo nae mpe uhuru muulize kwa nini anataka mfanye mapenzi gizani, mwambie kama anatatizo lolote au kilema chochote upo tayari kumsaidia, yaani mwoneshe kwa vitendo haswa ila asijue kama wewe unajua mpaka atakapokuwa tayari kukuweka wazi
 
Mkuu hakuwahi ruhusu niguse hata zip yake!.. Yani alikuwa tayari tugombane lakini nisimvue!.
Halafu sikuwa na malengo nae, yure ni mpitiwaji tu!.. Kujitwika majukumu ya father fibinacci ni kuja laumiwa baadae, atapata jamaa mwenye kuweza kukabili hali yake!.. Acha niwe rafiki mtazamaji wa kijacho!..
 
Ni nini hiki kitu? Just a brief
Umebadiri betri la simu yako je simu itakuwa mpya au ya zamani?.. Je ukibadiri na kioo ni simu mpya au ya zamani?.. Je ukitoa na cover ni simu mpya au ya zamani?.. Je ukibadiri motherboard?.
Ishu inakuja hivyo vifaa ukiviassemble pembeni ukaongezea na vingine, simu ipi itakuwa ya zamani?..
 
Oooooh Brain teasing hizi ngoja niifuatilie nitakupa majibu boss

Wewe kaongo nimesubiri vitabu hadi nimechoka..
 
hebu ngoja nisome tena mana naona manandy nandy bado....[emoji44]
 
Back
Top Bottom