Kutomsikia mtu a naeongea kwenye simu

Kutomsikia mtu a naeongea kwenye simu

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
419
Reaction score
219
Mambo vipi wakuu naomba mnisaidie mwenzenu...simu yangu nikimpigia mtu yeye ananiskia vizuri sanaa bali mimi simsikii yeye hata kidogo..je hilo linaweza kua tatizo la nini ..na linaweza kutibika kirahis? Manake hawa mafundi wasiku hizi wasnii sana ...naomba mnisaidie mwenzenu ..manake imekua kerooo...asanteni...
 
Jaribu kupiga namba mfano 102 halafu bonyeza kitufe chakuongezea sauti.
 
Mambo vipi wakuu naomba mnisaidie mwenzenu...simu yangu nikimpigia mtu yeye ananiskia vizuri sanaa bali mimi simsikii yeye hata kidogo..je hilo linaweza kua tatizo la nini ..na linaweza kutibika kirahis? Manake hawa mafundi wasiku hizi wasnii sana ...naomba mnisaidie mwenzenu ..manake imekua kerooo...asanteni...

check kaati ya hivi;
-Volume button haijawa-adjusted to your requirements
-speaker zina hitilafu/imeingia jasho au maji
 
Back
Top Bottom