Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Makabila karibu yote??? lol hebu watake radhi kwanza, sijawahi kuona.
Afu utafiti umeufanyia Karatu au Tz nzima??
Afu utafiti umeufanyia Karatu au Tz nzima??
Duuh huko nitatembelea inaonesha wazuri sana... 3 inchs lol.Sio mikoa yote wanao keketa mkoa wa mbeya (kyela) wao huvivuta vikawa na ukubwa wa hata kuzidi ukubwa wa ulimi kiasi cha 3 inchs kwa hiyo hutegemea mila na desturi za kabila
we wa mkoa gani?mbona wapo wachaga na wapare wamekatwa?mbona mwanza,musoma pia?warangi wanyaturu pia hawana sasa sema mkoa unaotokaMakabila karibu yote??? lol hebu watake radhi kwanza, sijawahi kuona.
Afu utafiti umeufanyia Karatu au Tz nzima??