sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,160
- 48,367
Wewe huwezi jua kama una hilo tatizo.Kukeketwa si kukatwa kinini sijui mbona mie sijakeketwa sio wote ebu tutake radhi
Wewe huwezi jua kama una hilo tatizo.Kukeketwa si kukatwa kinini sijui mbona mie sijakeketwa sio wote ebu tutake radhi
Mimi tanga hakuna hizo mambo wala sijawahi sikia toka utotoni mpaka sasa na uzee wangusijasema wote Shunie sitaki ugonvi,weewe mzaliwa wa wapi tukuchambe tujue kama hujakeketwa.
Dah shemeji sasa kwanini wanawake ni wagumu kufika kileleni?Basi sitaki jibu kaka shemeji.
Najua sana mbona ninacho aliyekeketwa si hana kabisa kwanza ningengeketwa ningeshaambiwa kuhusu utamu wanguWewe huwezi jua kama una hilo tatizo.
Yaani hawajiamini kabisa...hata hivyo ni kuwatengenezea mazingira tu ili wasijione wamekosewa kimaumbile maana imeshatokea.Ni khofu ya kukosa kidude
Ndio ututake radhi sio unasema karibia makabila yoteWatanga ni kweli sijawahi sikia,
Ndio hivyo kidude ninacho sijakeketwa mieWanaume tuwasanii Shunie hatuwezi gegeda nakumuambia mtu sio mtamu.
Hamuwapi pesa za kutosha.Dah shemeji sasa kwanini wanawake ni wagumu kufika kileleni?
Fuatilia convasation sio unarukia tu. Nilomjibu kaelewa.Ndiyo maana wanakeketwa?
Dah... Kuna aina nyingine wanabakiza kidogo. Watu wa huko musoma mara serengeti...Najua sana mbona ninacho aliyekeketwa si hana kabisa kwanza ningengeketwa ningeshaambiwa kuhusu utamu wangu