sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,160
- 48,367
Hahahah tanga kule milimani kuleee ushoto...Mimi tanga hakuna hizo mambo wala sijawahi sikia toka utotoni mpaka sasa na uzee wangu
Hahahah tanga kule milimani kuleee ushoto...Mimi tanga hakuna hizo mambo wala sijawahi sikia toka utotoni mpaka sasa na uzee wangu
Ukikaa na wazee wanasema huu ulikuwa utamaduni wa zamani ambao ulisaidia kulinda ndoa zao,kwamba mwanamke akitolewa kiharage anakuwa hawaki tamaa kama ambaye anacho maana miaka hiyo unakuta mtu ana wake saba mpaka 12 na hakai sehemu moja mara aende akachunge mifugo mara akafukuze ndege wasiharibu mazao so kipindi kikubwa anakuwa mbali na kipindi hiko walikuwa hawaangalii wala kujua kama kuna mwanamke kufika kileleni wao walichokuwa wanajua ni kuchovya washike mimba wazae koo ziendelee tu basi.pia kama umewahi kulala na mmoja aliekeketwa utakuwa ume-prove kwamba ni vigumu sana kumkojoza na ikitokea umemuweza nakwambia atakuganda mpaka uone kero.Lakini mkuu kwa nini wanakeketana?sisi ndio tunaopiga kelele wao wala!
Ni wa huko sasaDah... Kuna aina nyingine wanabakiza kidogo. Watu wa huko musoma mara serengeti...
Huko huko wakuteiyaHahahah tanga kule milimani kuleee ushoto...
Na hawa ndio wanaolalamika wanaume wamekua legelege hawana show za kibabe kumbe wao ndio wanatatizo.Ukikaa na wazee wanasema huu ulikuwa utamaduni wa zamani ambao ulisaidia kulinda ndoa zao,kwamba mwanamke akitolewa kiharage anakuwa hawaki tamaa kama ambaye anacho maana miaka hiyo unakuta mtu ana wake saba mpaka 12 na hakai sehemu moja mara aende akachunge mifugo mara akafukuze ndege wasiharibu mazao so kipindi kikubwa anakuwa mbali na kipindi hiko walikuwa hawaangalii wala kujua kama kuna mwanamke kufika kileleni wao walichokuwa wanajua ni kuchovya washike mimba wazae koo ziendelee tu basi.pia kama umewahi kulala na mmoja aliekeketwa utakuwa ume-prove kwamba ni vigumu sana kumkojoza na ikitokea umemuweza nakwambia atakuganda mpaka uone kero.
Hahah nakuteiya... KidogoHuko huko wakuteiya
Ungekuwa unafuatilia usingeuliza hilo swali.Hasira za kuketwa hizo,we mzaliwa wa wapi.Huu uzi nimeanzisha mimi nafuatilia naomba ujadili kilichopo humu usiende nje ya mada,sitaki ugonvi na wewe.
sumbai [emoji1][emoji1] ebu sooHahah nakuteiya... Kidogo
Sina jibu mkuu.Nimeshauliza kama unalo jibu nijibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sumbai [emoji1][emoji1] ebu soo
Ahahhah sumbai kumbe tunatoka njia moja eenh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naaam, n'zaiza...
I lived there....! Kule kwa wale watoto weupe kuna baridi kali...Ahahhah sumbai kumbe tunatoka njia moja eenh
Ndio kwetu huko kwa watoto weupe tehI lived there....! Kule kwa wale watoto weupe kuna baridi kali...
aaaaahh@Sakayo si Majibu ya Maswali kuhusu antenaMajibu ya nini Mkuu
aaaaaahhhh@Shunie kumbe unasifiwa kuwa wewe mtamuuuuuuu hongera kwao wanaopata utamu wako wanafaidiNajua sana mbona ninacho aliyekeketwa si hana kabisa kwanza ningengeketwa ningeshaambiwa kuhusu utamu wangu
Hujawajulia..Dah shemeji sasa kwanini wanawake ni wagumu kufika kileleni?
AiseeeHujawajulia..
Siku ile niliyokaa 200m away. I saw it...weupe kwa mbali.Ndio kwetu huko kwa watoto weupe teh
Mtanzaniakabila gani wewe?