Kutokuzaa kwa wanawake wa kichaga kwaanza kuwatokea puani, wakamatwa kwa kuiba vijana wa kuwakatia majani ya kulisha mbuzi ng'ombe

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Hii ni habari ya kutisha ndani ya mwezi mmoja wanawake wa makamo wamekamatwa mkoani Kilimanjaro wilaya ya Moshi Kwa makosa ya kutorosha watoto wa kiume kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo wengi kutoka Kanda ya ziwa Kwa ajili ya kuwaajili wafanye kazi ya kukatia majani mbuzi na ng'ombe BAADA ya wao kushindwa kuzaa watoto wa kutosha Kwa sababu mbalimbali

Mkazi mmoja wa Kijiji Cha Marangu,amesema wakina mama wa kichaga wengi wao siku hizi hawazai kabisa jambo linalopelekea mkoa kuwa na vijana wachache huku waliopo wakiwa walevi wa pure na mirungi hiki wakikabiliwa na uskosefu wa nguvu za kiume Kwa sababu za matumizi ya vilevi.

Mkazi hiyo alienda mbali na kudai yakuwa wakina mama wengi hawazai hata waume wao nao wamekuwa walevi kupitiliza, watoto wao wao wa kiume ndo balaa jambo linalo pelekea hata kukosa. Nguvu kazi ya kufanya kazi kupelekea wakina mama wengi kujiusisha na wizi WA vijana wa kufanya kazi kutoka mikoa mbalimbali wengi wakitoka Kanda ya ziwa.

''Juzi tu hapa kakamatwa mama Kwa kumtorosha mtoto wa Darasa la sita Jana Tena na Leo Tena"anaelezea ndugu mmoja ambae hakuwa Tyr jina lake litajwe hapa

Angalizo tatizo la nguvu za kiume Kwa Kilimanjaro ni kubwa kuliko tunavyowaona wakina mango huko mikoa mingine serikali ihingilie kati ni aibu.
 
Usiamshe waliolala, ukiwaamsha utalala wewe.

Waache wazidi kujinywea azam energy, kula kuku mataahira, kupiga punyeto, kula pizza, bagger na mirungi, kushinda vijiweni kupiga stories, kujipa stress za kijinga ili wahuni wawachapie Ke zao vizuri maana ndiyo maisha waliyoyachagua.

Ke hahitaji pesa pekee bali kupelekewa moto maana si Malaika huyo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20230404-120021_Chrome.jpg
Screenshot_20230404-115545_Chrome.jpg
Screenshot_20230404-115545_Chrome.jpg
Screenshot_20230404-115154_Chrome.jpg
we ulifir₩a na wachaga sasa hujui hata kuandika na kutwa kuwashushia nyuzi
 
Hii ni habari ya kutisha ndani ya mwezi mmoja wanawake wa makamo wamekamatwa mkoani Kilimanjaro wilaya ya Moshi Kwa makosa ya kutorosha watoto wa kiume kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo wengi kutoka Kanda ya ziwa Kwa ajili ya kuwaajili wafanye kazi ya kukatia majani mbuzi na ng'ombe BAADA ya wao kushindwa kuzaa watoto wa kutosha Kwa sababu mbalimbali

Mkazi mmoja wa Kijiji Cha Marangu,amesema wakina mama wa kichaga wengi wao siku hizi hawazai kabisa jambo linalopelekea mkoa kuwa na vijana wachache huku waliopo wakiwa walevi wa pure na mirungi hiki wakikabiliwa na uskosefu wa nguvu za kiume Kwa sababu za matumizi ya vilevi.

Mkazi hiyo alienda mbali na kudai yakuwa wakina mama wengi hawazai hata waume wao nao wamekuwa walevi kupitiliza, watoto wao wao wa kiume ndo balaa jambo linalo pelekea hata kukosa. Nguvu kazi ya kufanya kazi kupelekea wakina mama wengi kujiusisha na wizi WA vijana wa kufanya kazi kutoka mikoa mbalimbali wengi wakitoka Kanda ya ziwa.

''Juzi tu hapa kakamatwa mama Kwa kumtorosha mtoto wa Darasa la sita Jana Tena na Leo Tena"anaelezea ndugu mmoja ambae hakuwa Tyr jina lake litajwe hapa

Angalizo tatizo la nguvu za kiume Kwa Kilimanjaro ni kubwa kuliko tunavyowaona wakina mango huko mikoa mingine serikali ihingilie kati ni aibu.
Wachagga tena , inamaana siku hizi hawaibi pesa ni kuiba watoto

USSR
 
Aisee! Kizazi Cha Kichaga soon itapotea. Hao watoto wa Kanda ya ziwa ndio watamiiki hao wanawake. Kuna haja wakina mangi kuchukua hatua kamalisemwalo lipo.
 
Back
Top Bottom