Kutokuwa na Civil War kumesababisha wa-Tanzania kuwa watu wenye amani

Wanaigeria siku hizi wana Soko Sana kwa Dada zetu Sijui kwa nini.. Kuna Mmoja tulimpeleka Mwanza kufanya kazi kwenye Moja ya Branch Yetu Mkataba umeisha hataki kutoka tena na Kurudi kwao Nigeria, Kisa kapata ukarimu wa Vyote Maisha na Mwanamke-- Du Dada Zetu Kwa kujiongeza
 
Wanaigeria siku hizi wana Soko Sana kwa Dada zetu Sijui kwa nini.. Kuna Mmoja tulimpeleka Mwanza kufanya kazi kwenye Moja ya Branch Yetu Mkataba umeisha hataki kutoka tena na Kurudi kwao Nigeria, Kisa kapata ukarimu wa Vyote Maisha na Mwanamke-- Du Dada Zetu Kwa kujiongeza
Anzisha thread kwenye MMU nitakwambia sababu.
 
tusiombee hili jambo kabisa na sema maana ikitokea kwetu ni mara kumi kama sio mia yakilicho tokea Rwanda hasira za watanzania walio wengi ni kama machozi ya samaki,tueendelee kuomba huu uvumilivu uliopo mpaka siku kiu ya ukombozi ikipatiwa muafaka
 
Kazi ya kukamata na kushtaki wezi ni ya serikali, kama hamkumkata na kumshitaki basi makosa ni ya wanaotawala.
Huna unachojua kuhusu sheria, or else bangi, mbege na mirungi ya kiborloloni imekuharibu. Kuwa sober ndo uandike
2.Ujanja ni kugawiwa kanga na kofia halafu unatoa kura yakoWakati wengine wanapewa kanga na kofia, BAWACHA Mnauziwa Tshirt la FREE LEMA Kwa Tsh 30,000 Huku mkipewa MIRUNGU, BANGE na VIROBA ili MDEKI LAMI na kuzungushwa mikono. Nadhani soon MPAKA BABA ZENU MTAZUNGUSHWA NA VIUNO
3.
Ujanja ni kumpa ex-lady ubunge.
WAJANJA Chama cha ukombozi CHAWEMA kinampa kila MKE NA DEMU WA KIONGOZI WA CHAMA VITI MAALUM - UKOO MMEJAZANA CHADEMA - (LUCY AWENYA, GRACE KIHWELU, ROSE KAMILI, JOYCE MUKYA,) Chama kimekuwa KITEGA UCHUMI CHA MAMANGI NA MADEMU ZAO
4.
Bunge ili wakitaka kuhoji
Chenge mtamwabudu soon kama mnavyomwabudu LOWASSA, Jadili kwanza RUZUKU inakoenda kama huo UBAVU WA KUHOJI
 
Back
Top Bottom