TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,841
- 8,593
Ni uhuni kwa mujibu wa kitabu ganiJuzi moja nimeenda mahali fulani nikiwa nimekula suti (Kaunda suti ) ya mikono mirefu halafu chini sikuvaa soksi Bali nilipiga moka yangu safi nikawa nadunda kama kitenesi!,Kwakuwa Nina cheo mahali fulani !,nikawa nasikia maneno kutoka Kwa watu wangu wa karibu ya kwamba,eti wanazungumza kwamba kiongozi asiyevaa soksi ni Muhuni na hapaswi kuaminiwa!
Hizi hizi za kiatu Cha kawaida mkuu 😁Soksi hizi hizi au ile soksi ya mguu wa tatu
Viatu vyangu vingi si vya kufua mkuu,na pia sinuki mguuItabidi uwe na viatu vingi ili kuvipa nafasi ya kupumua na kukauka.
Maanq soksi ni kama mbadala wa kufua
Wewe ni kama Mimi mkuu!Katika vitu sina time navyo ni soksi na mkanda.
Ndo hapo mkuu!Ni uhuni kwa mujibu wa kitabu gani
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili, Muhuni ni Mwanaume au mwanamke ambaye hajaoa au kuolewa!Kataa uhuni
Siyo sawa mkuu,kutokuvaa soksi siyo ubishoo!Sijasoma sana ila usijitetee, Unapovaa Official hasa suruali yako isiwe ndefu vya kutosha hakikisha unavaa Socks.
Kweli si uhuni ila ni ubishoo wa kitoto sana.
Moka na kitambaa bila socks ni Ushalobalo sawa kabisa na kuvaa Katakei.
ushamba kwako ni ujanja kwa wenginekuvaa soksi ni Ushamba!
Katika vitu sina time navyo ni soksi na mkanda.
Hizi ni akili za kitoto zimekutana, Mnaleta mambo ya Uniqueness na Ushalobalo kwenye vitu serious, Muwe mnavaa hivi mkienda kupiga picha, kuparty na marafiki au sehem zingine zote zisizo na sheria.Wewe ni kama Mimi mkuu!
Kazi ya Soksi kwenye kiatu ni ipi hasa?Hizi ni akili za kitoto zimekutana, Mnaleta mambo ya Uniqueness na Ushalobalo kwenye vitu serious, Muwe mnavaa hivi mkienda kupiga picha, kuparty na marafiki au sehem zingine zote zisizo na sheria...
Nimekushauri tu, kama umevaa Jeans na Raba hapa kuvaa socks ni Afya tu si lazima maana haya si mavazi ya kazini hivyo utakua zako mtaani ila unapovaa Oficial Moka na Cardet au Kitambaa socks ni Sheria vinginevyo huu ni Ushalobalo wa Kitoto na inaonyesha wazi lengo lako si kazi ni attention.Siyo sawa mkuu,kutokuvaa soksi siyo ubishoo!
Basi kesho nenda kazini kwako na Pensi na Kobazi, Tshirt na Kofia.Kazi ya Soksi kwenye kiatu ni ipi hasa?
Je ,kazi ya mkanda ni ipi hasa?
Yawezekana wewe ndiye ukawa na tatizo la kiakili!
Ninachojua sifanyi dhambi Kwa kutokuvaa vitu hivyo,tofauti na hapo kama watu wanaongea ngoja waongee!