105 others
Member
- Aug 12, 2025
- 17
- 12
Una pepo kutoka Saudi ArabiaMara Chache sana huwa nalala Nyumbani,
Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.
kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
Wewe ni homeless, hacha kujitetea !Nilichokiandika Hapa ni kweli ila wewe umewaza, Ujinga jirani yangu alishawai niuliza hivi umehama hapa, maana nakuja na kuondoka au nakaa kwa masaa tu
Ahahahah..hivi pimbi mi simjui aisee. Yukoje yukoje huyo??Binadamu huwa tuna tabia zinazofanana na za wanyama.....kitabia umefanana na pimbi, anaweza kukimbia umbali mrefu sana na akifika huko anaenda kulala tu.
Kwahiyo nawe kalale unakotaka ni kawaida
Nilikua simjui bwana huyu kiumbe
Basi hio ndio sababu... Ungekua mlokole hapo sawaPombe yes bangi mara Chache chache, ila mademu sana
Ndio huyo mkuuNilikua simjui bwana huyu kiumbe
oyaaa anatimua mbio anaenda kupiga usingizi
Ndio hivyo mkuu harakati za pimbi hizooyaaa anatimua mbio anaenda kupiga usingizi
PIMBI...naomba picha ya huyo mnyama tafadhali
Sawa kwahio jamaa aache UPIMBI sindio