Kutokomaa kisiasa kutaiua CHADEMA

Mengi yamesemwa kuhusu Chadema chama ambacho kilionekana kuwa kingeleta upinzani wa kweli kwenye ulingo wa siasa.
Lakini baada ya mambo kadhaa ya yaliofanywa na Chadema ambayo yamedhihirisha dhamira yao ya kutaka kutaka kuongoza nchi kwa kutumia mbinu chafu.

Nyingi zimeshajulikana nisingependa sana kuzirudia maana zinajulikana haswa lile la kushawishi madaktari wagome hata kwa kutumia madaktari wasioajiliwa na wanachama wao wakashawishi mgomo…..

Na sababu kuu ya mgomo kwa nini wabunge wanapokea pesa nyingi kulko wao(Ikumbukwe katika wabunge hao kuna wengine wa Chadema ambao nao wanapokea pesa na kila kitu cha bunge na hawasemi kama pesa hizi nyingi)

Sasa basi kumekuwa na mtindo wa wana Chadema kupita mitaani na kutaka kununua mashina ya CUF ambayo kwa sasa yanaonekana hayana uhai..wana Chadema hao ambao wanapita usiku na wote kama kawaida yao wa Kaskazini yaani ukikutana nao utasikia INji hii (badala ya nchi hii).

Nilibahatika nao kukutana nao Yombo Kiembe samaki wakitaka kununua shina kwa laki moja na kushawishi wanachama wa CUF wajiunge,kwa hili hawakufanikiwa ila huu mchezo mchafu hautowasaidia…CUF nayo inabidi kutambua kuwa wilaya ya temeke watauzwa kwa shs 100,000/- tu.

Hii mbinu ni moja ya mapungufu ambayo yataimaliza Chadema kabla ya 2015 kwani wameshindwa kuzungumza sera zao na sasa wanatumia pesa ambazo hazijulikani zimetoka wapi……..

Hivi hamuoni aibu kujengea watu utabaka huu? Hili la ukabila halitawasaidia kuwarudisha nyuma CDM kwani wananchi washaitambua mbinu yenu hii kuwa ni potofu! Ila sasa unalojaribu kulijenga - kuleta uhasama kati ya CDM na CUF, kweli hapo ndo unaniacha hoi. Siamini kama CDM wanapesa ya kufanya hivo. Ingekuwa ni CCM ndo unawatuhumu hivo wala nisingekuwa na wasiwasi sana....kwani hao wanapesa. Hata hivyo hiyo sidhani kama inaweza kuwa mbinu yoyote ya kutukuka kwa chama chochote kinachotaka kujiimarisha. NAOMBA UJIPANGE UPYA!
 
Eti hizi ndiyo akili za TISS wetu! Lakini kinachonisikitisha ni kwamba hizi propaganda ndiyo wanazozipeleka pale Magogoni na MKULU wa pale Magogoni anazinywa kama zilivyo bila kuchanganya na za kwake! Very sad in deed.
 
Ukipenda sanaaa! Chongo linakuwa kengeza! Wana CDM bwana,mmnyweshwa damu na kulishwa .....siku za .... katika ma...n...s..a. Sera ipo wazi kuwa atakayekuwa tofauti na CDM huyo ni adui atatengwa na kupigwa vita. Kumbuka kule jimboni kwa Pinda,wale waliopigia kura magamba na kuacha magwanda waliitwa wasaliti na kutengwa na k..n...sa. Hawa jamaa wa CDM watatuletea vita vya kidini! Hatuwapi kura 2015 ili tulinde amani yetu.
 
Mbinu chafu ina maana wame-displace watumiaji wa msitu wetu wa mabwepande na kuanza kuutumia wao?
 
nenda CHUO CHA SERIKALI ZA MITAA DODOMA UKAONGEZE ELIMU NITAKULIPIA HAKIKA MPAKA UWEZO WAKO UTAKAPOISHIA KUSOMA ....USEMALO HUNA UHAKIKA NALO..HOPE LESS BABY GIRL.
 
Kwanza kabisa naomba ni declare interest kwamba i have been in this forum for a very short period of time,trying to go through some of the thread,but to be honestly i think there is one guy who belongs to CCM who has been changing his name several time to crash or oppose each and every tpic regarding the weaknsess of the government and even to post bad things about other parties especially CDM which looks to be a threat to the ruling party,well i think we are here to air our views and edudate each other,by doing so the forum will be useful to each and evryone of us,but if we will be spending iur precious time to air non sense things sijui kama tutakuwa tunajenga au kubomoa,ila vijana tujaribu kuangalia kama hatuna cha kuandika is not aslo a crime,probably next time you will get something to sayThat is just my views and not neccessarly will convice or accepted by youAsante
 
sasa unaongea nini wewe utawafundisha chadema siasa?kawafundishe ccj,nccr,cuf na ccm yenu chadema tunajitosheleza:israel:QUOTE=security guard;4209054]Mengi yamesemwa kuhusu Chadema chama ambacho kilionekana kuwa kingeleta upinzani wa kweli kwenye ulingo wa siasa.
Lakini baada ya mambo kadhaa ya yaliofanywa na Chadema ambayo yamedhihirisha dhamira yao ya kutaka kutaka kuongoza nchi kwa kutumia mbinu chafu.

Nyingi zimeshajulikana nisingependa sana kuzirudia maana zinajulikana haswa lile la kushawishi madaktari wagome hata kwa kutumia madaktari wasioajiliwa na wanachama wao wakashawishi mgomo…..

Na sababu kuu ya mgomo kwa nini wabunge wanapokea pesa nyingi kulko wao(Ikumbukwe katika wabunge hao kuna wengine wa Chadema ambao nao wanapokea pesa na kila kitu cha bunge na hawasemi kama pesa hizi nyingi)

Sasa basi kumekuwa na mtindo wa wana Chadema kupita mitaani na kutaka kununua mashina ya CUF ambayo kwa sasa yanaonekana hayana uhai..wana Chadema hao ambao wanapita usiku na wote kama kawaida yao wa Kaskazini yaani ukikutana nao utasikia INji hii (badala ya nchi hii).

Nilibahatika nao kukutana nao Yombo Kiembe samaki wakitaka kununua shina kwa laki moja na kushawishi wanachama wa CUF wajiunge,kwa hili hawakufanikiwa ila huu mchezo mchafu hautowasaidia…CUF nayo inabidi kutambua kuwa wilaya ya temeke watauzwa kwa shs 100,000/- tu.

Hii mbinu ni moja ya mapungufu ambayo yataimaliza Chadema kabla ya 2015 kwani wameshindwa kuzungumza sera zao na sasa wanatumia pesa ambazo hazijulikani zimetoka wapi……..[/QUOTE]
 
Chandimu wamekwishaaaaa.....kama hizi tuhuma nizakweli hiki chama kinaenda pabaya kusema ukweli...
 
Hakuna ugonjwa mbaya kama ugonjwa wa kutawaliwa kifikra, inavyo onekana ndugu yangu huo ugunjwa unakuandama, ni heri ungepata ukimwi tukajua moja tu kuwa unaweza kuendelea kuishi kwa matumaini.
 
Mengi yamesemwa kuhusu Chadema chama ambacho kilionekana kuwa kingeleta upinzani wa kweli kwenye ulingo wa siasa.
Lakini baada ya mambo kadhaa ya yaliofanywa na Chadema ambayo yamedhihirisha dhamira yao ya kutaka kutaka kuongoza nchi kwa kutumia mbinu chafu.

Nyingi zimeshajulikana nisingependa sana kuzirudia maana zinajulikana haswa lile la kushawishi madaktari wagome hata kwa kutumia madaktari wasioajiliwa na wanachama wao wakashawishi mgomo…..

Na sababu kuu ya mgomo kwa nini wabunge wanapokea pesa nyingi kulko wao(Ikumbukwe katika wabunge hao kuna wengine wa Chadema ambao nao wanapokea pesa na kila kitu cha bunge na hawasemi kama pesa hizi nyingi)

Sasa basi kumekuwa na mtindo wa wana Chadema kupita mitaani na kutaka kununua mashina ya CUF ambayo kwa sasa yanaonekana hayana uhai..wana Chadema hao ambao wanapita usiku na wote kama kawaida yao wa Kaskazini yaani ukikutana nao utasikia INji hii (badala ya nchi hii).

Nilibahatika nao kukutana nao Yombo Kiembe samaki wakitaka kununua shina kwa laki moja na kushawishi wanachama wa CUF wajiunge,kwa hili hawakufanikiwa ila huu mchezo mchafu hautowasaidia…CUF nayo inabidi kutambua kuwa wilaya ya temeke watauzwa kwa shs 100,000/- tu.

Hii mbinu ni moja ya mapungufu ambayo yataimaliza Chadema kabla ya 2015 kwani wameshindwa kuzungumza sera zao na sasa wanatumia pesa ambazo hazijulikani zimetoka wapi……..
kama CHADEMA HAIJAKOMAA KAMULIZE DHAIFU. naona wewe umelewa wanzuki sasa unaona maluweluwe, acha hizo
 
Yaelekea unaupungufu wa akili inayokusababishia ushindwe kujitambua na kutojua unachokiandika, umepewa bei gani it seems u a so cheeper!
 
Mengi yamesemwa kuhusu Chadema chama ambacho kilionekana kuwa kingeleta upinzani wa kweli kwenye ulingo wa siasa.
Lakini baada ya mambo kadhaa ya yaliofanywa na Chadema ambayo yamedhihirisha dhamira yao ya kutaka kutaka kuongoza nchi kwa kutumia mbinu chafu.

Nyingi zimeshajulikana nisingependa sana kuzirudia maana zinajulikana haswa lile la kushawishi madaktari wagome hata kwa kutumia madaktari wasioajiliwa na wanachama wao wakashawishi mgomo…..

Na sababu kuu ya mgomo kwa nini wabunge wanapokea pesa nyingi kulko wao(Ikumbukwe katika wabunge hao kuna wengine wa Chadema ambao nao wanapokea pesa na kila kitu cha bunge na hawasemi kama pesa hizi nyingi)

Sasa basi kumekuwa na mtindo wa wana Chadema kupita mitaani na kutaka kununua mashina ya CUF ambayo kwa sasa yanaonekana hayana uhai..wana Chadema hao ambao wanapita usiku na wote kama kawaida yao wa Kaskazini yaani ukikutana nao utasikia INji hii (badala ya nchi hii).

Nilibahatika nao kukutana nao Yombo Kiembe samaki wakitaka kununua shina kwa laki moja na kushawishi wanachama wa CUF wajiunge,kwa hili hawakufanikiwa ila huu mchezo mchafu hautowasaidia…CUF nayo inabidi kutambua kuwa wilaya ya temeke watauzwa kwa shs 100,000/- tu.

Hii mbinu ni moja ya mapungufu ambayo yataimaliza Chadema kabla ya 2015 kwani wameshindwa kuzungumza sera zao na sasa wanatumia pesa ambazo hazijulikani zimetoka wapi……..

Kama wewe ni 'critical observe' utajibu swali hili: hivi kati ya Chadema na CCM kipi ni chama cha upinzani? Naomba uniambie chama x ni tawala kwa sababu hizi na hizi na chama y ni cha upinzani kwa sababu hizi na hizi. Right! Maana naona umeyavulia maji nguo.
 
du chadema kiboko yao nyote hamlali kwa chama cha ukanda na udini?ni upepo utapita?
Mengi yamesemwa kuhusu Chadema chama ambacho kilionekana kuwa kingeleta upinzani wa kweli kwenye ulingo wa siasa.
Lakini baada ya mambo kadhaa ya yaliofanywa na Chadema ambayo yamedhihirisha dhamira yao ya kutaka kutaka kuongoza nchi kwa kutumia mbinu chafu.

Nyingi zimeshajulikana nisingependa sana kuzirudia maana zinajulikana haswa lile la kushawishi madaktari wagome hata kwa kutumia madaktari wasioajiliwa na wanachama wao wakashawishi mgomo…..

Na sababu kuu ya mgomo kwa nini wabunge wanapokea pesa nyingi kulko wao(Ikumbukwe katika wabunge hao kuna wengine wa Chadema ambao nao wanapokea pesa na kila kitu cha bunge na hawasemi kama pesa hizi nyingi)

Sasa basi kumekuwa na mtindo wa wana Chadema kupita mitaani na kutaka kununua mashina ya CUF ambayo kwa sasa yanaonekana hayana uhai..wana Chadema hao ambao wanapita usiku na wote kama kawaida yao wa Kaskazini yaani ukikutana nao utasikia INji hii (badala ya nchi hii).

Nilibahatika nao kukutana nao Yombo Kiembe samaki wakitaka kununua shina kwa laki moja na kushawishi wanachama wa CUF wajiunge,kwa hili hawakufanikiwa ila huu mchezo mchafu hautowasaidia…CUF nayo inabidi kutambua kuwa wilaya ya temeke watauzwa kwa shs 100,000/- tu.

Hii mbinu ni moja ya mapungufu ambayo yataimaliza Chadema kabla ya 2015 kwani wameshindwa kuzungumza sera zao na sasa wanatumia pesa ambazo hazijulikani zimetoka wapi……..
 
we dhaifu kweli unaongelea mgomo wa madakrari kwani we haoni uhalisia wa hali iliyopo mahospitalini,vifaa hamna na mazingira duni ya kufanyiakazi huyaoni mpaka useme wameshawishiwa,,,,mtanzania anaasilimia ndogo mno za kupona pale anapo enda kutibiwa na hospitali za serikali
 
Wewe ukubwa wa masaburi yako waa ajabu ndo maana unawaza sana kwa kuyatumia......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom