mind bringer
Senior Member
- Oct 19, 2017
- 170
- 51
but mbna nackia second batch allocation hazjawekwa ingalii wametangaza idadi ya waliopataaZinatoka Ila ukiwa chuo.
but mbna nackia second batch allocation hazjawekwa ingalii wametangaza idadi ya waliopataaZinatoka Ila ukiwa chuo.
Sasa bila kuweka kwenye account utajuajeh.. Me naamini zimewekwa kwa waliopatabut mbna nackia second batch allocation hazjawekwa ingalii wametangaza idadi ya waliopataa
Mda wa ku appeal bado wata weka tu option
Pole yako binafsi kwanza kwasababu unaamini unachokiamini.Mimi mamayangu analia tu kilasaa nimemwambia asiwaze nikikosa nitapambana na vibarua popote nimeki nisome mwakani.
Nimekutaujumbe kamahuo na bado upo katika account yangu.
Naomba Mungu anisaidie na ampe mamayangu moyo wa subira nadhani ameumia kuliko mimi daah.
Mimi Niko chuo mkuu ninachokueleza kiamini.Ndo Yaleyale niliyosema ni kupeana Moyo kwenye HAMNA.. Batch nane za kutokea wapi.. Hali ya kuwa hii ya 2 tu imetoka kwa mbinde..
Me sipendi kujifariji gizani kiasi hcho.. Msoto niliopitia nikiwa naomba mkopo, na stress nilizopata wakat nasubir mkopo hadi leo hii mungu ndo anajua.. Hebu ni-give up about that niendelee kupambana na mtaa haya mambo yatanikondesha indeed
Marekebisho na appeal zote Ni 15/12/2020Wadau,Kuna mtu yeyote ambae ameweza kufanya marekebisho kwenye account yake.Naombeni majibu ndugu zangu Kama yupo huyo mtu nahitaji msaada.
Aaaah, haya mambo hayasomeki kabisa
Kweli watu wanavyosema heslb wanazima ndoto za vijana so uongo..Jamani HESLB wapeni watoto mikopo.Bado wengi sana hawajapata hasa waliopata vyuo third selection.
Oyaa wamenitemea mkuu,uwezi amini yan dah,nilikuwa nawaza ntasomajeYaaan wanafunzi wote was third round hakuna aliyeambulia hadi sasa..
Mkuu umepata batch ya ngapi?Oyaa wamenitemea mkuu,uwezi amini yan dah,nilikuwa nawaza ntasomaje
Nimepata Jana ucku mida ya saa 8,batch ya3Mkuu umepata batch ya ngapi?
Nimekuta hivyo hivyo ; na hakuna panapofunguka, Nadhani walikuwa hawajajiandaa - tusubiriKUNA ALIYEBAHATIKA MIMI NIMEKUTA HIVI NIFANYEJE?View attachment 1639907
Nimekuta hivi pia aisee, ngoja tusubiri labdaNimekuta hivyo hivyo ; na hakuna panapofunguka, Nadhani walikuwa hawajajiandaa - tusubiri
weee majuzi tuu ulivaa gauni !!!!!!Nimekuta hivi pia aisee, ngoja tusubiri labda