Kutokana na ujumbe huu na taarifa zilizopo hapo nikitaka ku-appeal naappeal vipi/wapi?

Hivi vyuo visivyo universities lakini wanatoa degree, mfano TIA mikopo wanapata?
 
Back
Top Bottom