Erasto guy
Member
- May 26, 2022
- 31
- 183
Kivp broChuo unaenda kupoteza muda na pesa
Teku na vingine vya jamii yake
Nimepitia bro lakn kujua Ni chuo kip au program ip haina ushindan hapo ndo nimeshindwa kutambua ndomana nmekuja kwenu wanajfUtafute chuo au program isiyo na ushindani mkubwa. Pitia tcu admission guide uangalie.
Utafute chuo au program isiyo na ushindani mkubwa. Pitia tcu admission guide uangalie.
Shukran🙏🙏Omba chuo cha mipango project planning
Kwa ujumla udsm achana nacho. Kitu cha kuangalia ni nafasi ngapi zipo hakikisha katika choice zako kuna chuo chenye nafasi nyingi kwa hiyo course.Nimepitia bro lakn kujua Ni chuo kip au program ip haina ushindan hapo ndo nimeshindwa kutambua ndomana nmekuja kwenu wanajf
Hii kozi inamuandaa mu kuwa nani?Omba chuo cha mipango project planning
Shukran bro 🙏🙏Kwa ujumla udsm achana nacho. Kitu cha kuangalia ni nafasi ngapi zipo hakikisha katika choice zako kuna chuo chenye nafasi nyingi kwa hiyo course.
Chuo cha ARDHI MOROGORO au TABORAHabarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani
History-D
Geography-D
E language-E
GS-S
Je, kutokana na ufaulu wangu naweza kuapply chuo gan? Na coz ipi?
Naomben msaada wenu tafadhari
Shukran Sana wakuu🙏🙏Njoo Iringa. UOI au RUCU
Nenda kasome B.A Tourism pale University of Iringa, UoI
Chuo kikuu unapata,hiyo three yako ya kwanza baada ya two. Japo unaonekana ulikuwa mzembe sana darasani kwenu. Mtu akifel sana HKL huwa anapata division two. Au ulichukulia hivi "Hakuna Kusoma Lala (HKL). Au ulikuwa Kiranja wa Msosi, kila mda unawaza kwenda kupima mchele,Unga na maharage.Habarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani
History-D
Geography-D
E language-E
GS-S
Je, kutokana na ufaulu wangu naweza kuapply chuo gan? Na coz ipi?
Naomben msaada wenu tafadhari
Nna Do level una ufaulu gani wa hesabu?