Kutoka voda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka voda!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, May 24, 2011.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Member wenzangu najua 2 wazima mie langu leo ni kuhsu voda leo asbh nimegundua kuwa wamebadilisha maandish ya mtandao wanaandika kwa herufi kubwa"VODACOM§ TZ" Na pia wameanza kuuptudate mda(saa) ya kwnye cm. Sijui wenzangu mna taarifa zingine khs mabadiliko yao haya ya hivi karibuni!!!?
   
 2. wende

  wende JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nami nimeshangaa leo asbh kuona display ya "VODACOM§ TZ"!......niliuliza na kuona kwa wenzangu haikuwa hivo na sijui why??
  Labda wengine mnasemaje??
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hata mimi niliona hivyo lakini saa hii imerudi normal, sijui wanakuja na mpya ipi
   
 4. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mpya niliyonote ni kwamba wanauptudate mda bac maana nilitoa lain kuweka ile voda ya herufi kubwa imesepa!
   
Loading...