Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

Ndio hivyo... am very disappointed..!!
This is very disgusting...hujuma hujuma iko wazi kwa mikutano ya Live yote ya UKAWA ikiwa ITV inarusha...

Ukidhania utani, ngoja narusha picha hapa.... nimevunja vunja KINGAMUZI CHA STAR TIMES.. nimenunua mwenyewe, nimevunja mwenyewe, Kesho mapema naenda AZAM TV... kununua king'amuzi chao...!!!

ITV, TBC1, TBC2, Star TV... i deleted you katika UCHAGUZI HUU...!!!

Azam TV... ndio mpango sasa..!!
Wewe mwenyewe umesema ITV wanahujumiwa sasa ukivunja king'amuzi cha ITV itakuwa unawaonea na utawafurahisha zaidi wanaowahujumu
 
Hiyo ndo point kubwa pekee uliyoona uliyotoka nayo kwenye kampeni ya leo ya ukawa? Jamani narudia kusema tena CCM NI CHAMA CHA WAJINGA NA MAMBUMBUMBU!!
 
Wakuu natanguliza salamu , kishindo kikubwa sana kitakachoambatana na gharika na mafuriko ya watu kuikumba kyela kesho j3 , maandalizi ya kuandaa jukwaa na nakshi nakshi zingine yanaendelea katika viwanja vya shule ya msingi Mpanda , usishangae kuhusu uwanja wa mpanda , viwanja vyote vya kyela visingeweza kutosha umati unaotarajiwa kesho .

asante kwa taarifa
 
kwa mara ya kwanza kuangalia mkutano wao live kupitia azamtv ni vituko au maigizo mgombea urais sijamuelewa wala sijaona akitangaza ilani ya chama mr ziro naye ni vituko kama mchezo wa maigizo mbowe akimuonya jk ni maajabu

Uwezo mdogo wa kuoambanua mambo. Hauwezi elewa kutokana na level ya IQ yako
 
Masikini wewe, umevunja king'amuzi bure!, tatizo sio king'amuzi tatizo ni signal!. Kazi ya king'amuzi ni kupokea tuu signal, na kuzionyesha kwenye TV yako!, tatizo la live ya leo ni kukatika katika kwa signal kutoka Mbeya na sio king'amuzi!.

Kazi ya mkono ni kuchota chakula kutoka kwenye sahani kupeleka mdomoni!. Unapokuta hakuna chakula kwenye sahani cha kupeleka mdomoni, utaukata mkono?!.

Kingamuzi ni mkono too wa kufeed signal wewe uone!, signal hakuna kosa la king'amuzi ni lipi?!.

Pasco


Azam2 kulikuwa hakuna tatizo hata kidogo crystal clear
 
Mnaangalia ya nini wakati mna fiesta na maonyesho ya push up. Mnaweka za kuingizia bk 7?
 
Pasco..!! plz...!!!

Kwanini iwe kwenye mikutano live tu ya UKAWA..? Ila mikutano mingine ya Live iwe ya kiserikali au CCM iko very clear... na ni Mikutano mikubwa miwili, ya Arusha na huu wa Mbeya..!!!

Hii ni hujuma.. sio kweli.. despite all technical points you mentioned, of which i dought IF YOU ARE RIGHT...what you said it is true kama ni kwa kila mikutano live ya ITV hata mingine...


Hii ni hujuma kwa UKAWA...!!




ITV kama ITV hawajawahi kuwa na OB Van, hivyo ITV kama ITV yenyewe tuu, hawawezi kutangaza live kutoka Mbeya au kutoka mahali popote nje ya jiji la Dar es Salaam kwa sababu wanatumia teknolojia ya Microwave link!.

Ili ITV waweze kurusha matangazo ya moja kwa moja kutoka mahali popote nje ya Dar es Salaam, ni lazima matangazo hayo yapitie satelite link ama ya TBC, Star TV au Azam TV!. Hivi ndivyo vituo vitatu pekee nchini Tanzania vyenye satelite link!. Star Times pia wana satelite link ila link yao kwa Tanzania ni downward link tuu, yaani unaweza kupokea, na sio upward link, huwezi kupandisha!. Upward link yao iko China!. Wengine wenye downward link ni DSTV, wao upward link yao iko South Afrika!.

Hivyo kama ITV hawana satelite upward link hivyo wanarusha kupitia link ya Azam, sielewi kabisa kwa nini matangazo yakatike unless wanaozingua ni hao Azam!. Kama Azam yuko hewani na hakatiki, then, ITV inachotakiwa ni kuacha pride tuu ya kuwapaisha Azam kupitia ITV, wanachotakiwa ni ku loop na kurusha Azam watu tuone kinachoendelea hata ikibidi kumkosa Spenser Lameck na tumkose tuu ila Lowassa tumpate!.

Pasco
 
kwa mara ya kwanza kuangalia mkutano wao live kupitia azamtv ni vituko au maigizo mgombea urais sijamuelewa wala sijaona akitangaza ilani ya chama mr ziro naye ni vituko kama mchezo wa maigizo mbowe akimuonya jk ni maajabu

Uwezo mdogo wa kupambanua mambo. Hauwezi elewa kutokana na level ya IQ yako
 
Basi kama yote hayo umeona ni vituko wewe ndio kituko nambari moko uliokrem kampeni zinaendeshwa kwa mfumo fulani. Ukawa ni wabunifu kwa kwenda mbele
 
Mods, huu uzi kwanini haujaunganishwa na uzi wa Lowassa Mbeya, acheni upendeleo wa wazi. Nyuzi zingine zikianzishwa mnazirusha kule.
 
Tatizo lenu hua jamsikilizi ITV japo wanapatikana star time lakini toka wazinguane nao hawasrmi wanapatikana star time na ujue dialo lazima afanye fitina shida sio ITV Bali ni star time ya dialo
 
Poh, kwa hiyo Chadema walifuata "taratibu" za chama kuhusu Lowassa? Usitake kufanya watu wengine wajinga. aisee. Huyo mzee wenu amechanganyikiwa.


Kama hawakufuata waulize Slaa na Lipumba walikaa vikao au laa.

Ukipata majibu kwamba walikaa nakuafikiana huo ndio utaratibu.

Mengine mbwembwe na mabalion ya ccm.
 
Unalinganisha coverage ya Azam TV na ITV, anachotaka adui ni kufanya maximum damage inawezekana amechagua ITV kwa sababu inaonekana nchi nzima.


sasa ulitaka chadema wafanyeje itv ndio ipo nchi nzima..lakani ndio maana walichukua na azam tv ...hizo ndizo tv zinazooonyesha mambo kutoka kila upande...sasa cjui ulitaka wafanye nini .....chadema kazi yao ni kulipia coverage tu....mambo ya ufundi ni tv zenyewe.........
 
Back
Top Bottom