SUPER PREDATOR
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 2,093
- 725
Wewe mwenyewe umesema ITV wanahujumiwa sasa ukivunja king'amuzi cha ITV itakuwa unawaonea na utawafurahisha zaidi wanaowahujumuNdio hivyo... am very disappointed..!!
This is very disgusting...hujuma hujuma iko wazi kwa mikutano ya Live yote ya UKAWA ikiwa ITV inarusha...
Ukidhania utani, ngoja narusha picha hapa.... nimevunja vunja KINGAMUZI CHA STAR TIMES.. nimenunua mwenyewe, nimevunja mwenyewe, Kesho mapema naenda AZAM TV... kununua king'amuzi chao...!!!
ITV, TBC1, TBC2, Star TV... i deleted you katika UCHAGUZI HUU...!!!
Azam TV... ndio mpango sasa..!!