Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

Makamanda wote wamelowa HALI NI NGUMU hawakutegemea kuhutubia watoto wadogo waliovutiwa na vipaza sauti. CDM mwanzo mbaya ziarani KUSINI mwa nchi
 
Nyuma ya hao watoto kwa mbali inaonesha lipo kundi la watu wakiwa wanafuatilia mkutano huo.
Ulaaniwe wewe boya uliyewaita watoto pemben ili uwapge pcha ili uje utudanganye humu kuwa wao pekee walikwepo kwenye mkutano
 
Huyu mtu ni MWONGO...! Mambo ni mazuri sana wanaJF Msihofu wakuu. Nitakuja na hitimisho..!
 

Mie pia naungana na wewe kulaani aliyesema haya meneno alaaniwe tuseme ameen!!!
 
Kaka hata picha uliyoiweka inakuchoresha, acha kuruka somasoti huku una tauro....utabaki p.....bu wazi
 

Sasa hii ndo picha gani na wewe?
Umebananisha ka mguu wa chupi aisee!
 
kama mnabisha pigeni simu muulize.,au ngoja nizi-upload picha nyinge ingawa mtandao unasumbua kidogo...!
 
Lema anaonekana amekata tamaa anaelekea upande wenye parking.,nafikiri anataka kutimka...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…